Mwita Waitara athibitisha taarifa za kuumwa, amelazwa Hospitali ya Benjamin Mkapa, hajui ni ugonjwa gani

Mungu amfanyie wepesi ndugu yetu wa Waitara.Ni veme atumie ile dawa ya NIMRI
 
Pole kwa kuumwa M.Waitara...
 
Hahaha
 
Bora ungeendelea kuuchapa tu usingizi. Watu tunaandika humu tukiwa na uhakika mkuu.
 
Matanga mnapanic nini sasa?
 
Hahhaa kumbe hii kitu huwa inauma namna hii kwani waitara aikuwa anamjibu nani kuwa anaumwa na kweli kalazwa maana ake yeye mwenyewe anafatilia habr za tweter
 
Unalazwa zaidi ya wiki bila kuambiwa unachoumwa tena kwa mtu mwenye hadhi ya uwaziri?Mpaka hapa tumeshajua nini kinamsumbua kulingana na tetesi zilizokuwepo.
 
Alionekana wiki iliyopita akigombana na wasukuma wa Mwanza.
 
Halafu Mataga mnasema kwamba KIGOGO analeta taarifa za UONGO!! Nimemsikiliza Mwita Mikwabe Waitara akihojiwa na Macklina Siyovelwa wa East Africa Radio kiukweli Mwita anaumwa tena yupo katika hali sio nzuri,sauti haitoki kabisa ,sauti ya upole ile ambayo kama akiongea anaumia!! Ni hatari sana FUTA.
 
Ngoja niwape connection wajuba washone suti nyeusi, uelekeo Ni Mara this time.

Sisiem tumewachoka, na mukufe tu maana mnaua Watanzania, taifa linaisha kwa ufedhuli wenu
 
Kalazwa wiki nzima, anaumwa tu kawaida na hajaambiwa anaumwa nini na madaktari... I see
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…