Sasa haja gani kuleta mafumbo?,kama hujiamini bora uache kubreaknews za aina hii,maji ukiyavulia nguo huna budi kuoga,sio unafika bafuni unanawa uso na kutoka
Shida yoyote ya mwanaccm ni shangwe la kufa mtu mitaani hamjui tu.
Aisee.. Mungu Amrehemu.
Hamna umoja tena wa kitaifa mmetumia bunge kuuharibu Sasa kila mtu apambane kivyake
Kama ni kweli, Tunatakiwa kumuombea apone.
Wanaoshangilia hawana tofauti na vilaza wa MATAGA
Pole mkuu Waitara lakini nyie maCCM mkome kushangilia masaibu ya wengine
Ili kupunguza maneno na vilimilimi vya watetezi wa CCM mitandaoni ni vyema uweke wazi jina la mtu anayeumwa na mahala alipolazwa hapo utakuwa umewaepuka wakorofi wa CCM, toa ufafanuzi wa kina inasaidia hata sisi wapinzani kwenda nao sambamba bampa to bampa
Karma is the law, it just acts, it doesn't matter kama mhusika anaelewa au haelewi!.Kina lijua likali hawawezi kuelewa.
Labda we mgeni kwenye siasa za bongoMwenzetu umeshawahi kuombewa kifo?!
Safi sana we umenielewa.Haya ndiyo yaliyojengwa na awamu hii.
Itafikia hatua ya kuuana tusione vibaya.
Mbuyu ulianza kama mchicha
Kama point yangu hukuielewa ungeisoma tena umejibu haraka sana, nimesema wanaoumwa ni wengi kwa nini watu wanakuwa concerned sana na baadhi ya watu simply waliwakera kwenye mambo ya kisiasa.Mkuu Acha kujidanganya,hata uwe unaamka asubuhi na kwenda kugawa pesa kwa watu tambua kuwa wako watakaokuchukia na wapo watakao kupenda,ishi kwa kadiri uwezavyo na usiishi kwa kuigiza ili kuwafurahisha watu.
Mtu kuombewa kifo sio jambo la kusitaajabisha,usikute hata mtoto wako wa kumzaa akawa anakuombea ufe .
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Labda ni kweli Mimi mgeni wa siasa hizo za kuombeana kifoLabda we mgeni kwenye siasa za bongo