Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Kwa hiyo unaamini kabisa kwamba huyu mtu au Tulia au Gwajima walishinda uchaguzi kwa kupata kura nyingi zaidi ya wapinzani wao? Hata wao wanaujua ukweli.Aliposema anaenda kugombea jimbo la Tarime vijijini wanachama na wafuasi wa Chadema walimbeza, wengi walisema ni mlevi na anakwenda kupoteza ubunge.
Kuifanyia vizuri ni pamoja na kueleza ukweli namna Mwita alivyoisambaratisha Chadema. Chadema ilishindwa uchaguzi hata kabla ya kura kupigwa.Nasema hivi, ifanyie kazi vizuri hii Id ya october, lakini ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura fullstop.
Kama anguko la Cdm lilikuwa wazi hata kabla ya Oktoba ulitegemea nini?Kwa hiyo unaamini kabisa kwamba huyu mtu au Tulia au Gwajima walishinda uchaguzi kwa kupata kura nyingi zaidi ya wapinzani wao? Hata wao wanaujua ukweli
Kuifanyia vizuri ni pamoja na kueleza ukweli namna Mwita alivyoisambaratisha Chadema. Chadema ilishindwa uchaguzi hata kabla ya kura kupigwa.
Hapana dogo, hata kabla ya uchaguzi watanzania walikuwa wameishaikataa Cdm,hasa baada ya ufisadi wa bil 8 kufichuliwa. Vipi na wewe ulipata mgao?Ni kweli kabisa maana tiss na polisi tayari walikuwa na matokeo, tume ya uchaguzi ilikuwa ni kufuata tu maagizo.
Na nyinyi mkalala kabisa au?
Kwani kupinga mambo yaliyo kinyume na sheria mpaka uingie msituni?Sisi sio vikundi vya kigaidi useme tungeingia msituni.
Kama wananchi wameikataa cdm kwa ajili ya ufisadi wa 8b, imekuwaje aliyeiba 1.5t ashinde?Hapana dogo, hata kabla ya uchaguzi watanzania walikuwa wameishaikataa Cdm, bhasa baada ya ufisadi wa bil 8 kufichuliwa. Vipi na wewe ulipata mgao?
Wananchi wanajua ukweli 1.5tril haikuchotwa hazina.Kama wananchi wameikataa cdm kwa ajili ya ufisadi wa 8b, imekuwaje aliyeiba 1.5t ashinde?
Kwani kupinga mambo yaliyo kinyume na sheria mpaka uingie msituni?
Wananchi wanajua ukweli 1.5tril haikuchotwa hazina.
Naomba tujadili namna waitara alivyosambaratisha ngome za Chadema.Unatakiwa uende mahakamani kama katiba inaruhusu. Hata hivyo hakuna mahakama, bali kuna majengo ya mahakama yanayosimamiwa na vibaraka wa ccm.
Sio kweli, bro kila siku serikali inakosolewa wala hakuna tabu.Wananchi wanajua sana, ila wako kimya kuogopa kutekwa na kupoteza maisha yao.
🤣🤣🤣 Wanasikitisha🤣🤣🤣😅Uwezo wenyewe wakuingia msituni huna kabisa kama hata kuingia barabarani umeshindwa itakuwa msituni ambako kuna simba wakali??!!
🤫Choo kikiwa mbali ni tatizo ukiwa na tatizo la tumbo !!
Waitara yeye alitangazwa mshindi kwa matokeo yaliyokuwa yameshapangwa. Hilo halina mjadala.Naomba tujadili namna waitara alivyosambaratisha ngome za Chadema.
Kwa "akiri" zako unaamini alishinda kihalali?!
Eti Waitara anajua kubadili upepo wa kisiasa hapa Tanzania, sasa kwanini akakimbia Ukonga?
Nahisi ulikuwa msukule umeachiliwa juzi urudi duniani.
Ahaaa, malalamiko ambayo hayana ushahidi.Waitara yeye alitangazwa mshindi kwa matokeo yaliyokuwa yameshapangwa. Hilo halina mjadala.