Mwita Waitara: Jembe lililopindua meza kibabe, CHADEMA hawatasahau

Mwita Waitara: Jembe lililopindua meza kibabe, CHADEMA hawatasahau

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Aliposema anaenda kugombea jimbo la Tarime vijijini wanachama na wafuasi wa Chadema walimbeza, wengi walisema ni mlevi na anakwenda kupoteza ubunge.

Lakini hii yote ilikuwa ni sababu Mwita Waitara alikuwa ametoa siri nzito juu ya namna Kamanda Mbowe alivyotafuna zaidi ya bil 9 mali ya chama, ambazo zilikuwa michango ya wabunge na ruzuku ya Chadema

Zikabaki stori za chuki na vijembe, Oo huyu jamaa ni mlevi, hana lolote, alikuwa analewa kwa mama Zakaria gongo! Kwani mtu kunywa bia kwa afya yake ni kosa?

Alipohamishia kambi Tarime na kufanya mikutano ya ndani, Chadema iliyeyuka kama barafu kipindi cha jua, maelfu ya wanachama wa Chadema na iliyokuwa ngome ya Chadema walihamia Ccm.

Naweza kusema kitendo cha Chairman mbowe kumpuuza Mwita mpaka akahama Chadema ni pigo kubwa sana kwa Chadema, maana namna alivyobaragaza Chadema kuanzia ngazi ya taifa mpaka kanda ya Tarime kuporomoka ni hatari tupu.

My take ,Mwita Waitara ni mmoja wa magenius hapa Bongoland maana anajua namna ya kubadili upepo wa siasa za hapa Tz, hata kama mnachukia kama mambo yakizidi sio mbaya mkimtafuta kwa ushauri.
 
Unatumia kigezo gani kupima kuporomoshwa Chadema? kama ni matokeo ya kupika ya uchaguzi wa ubunge uliofanyika October wewe kweli ni msukule.
Nafikiri alichokifanya Waitara kabla ya uchaguzi ulikiona, tuliza hasira dogo.
 
Id ya october 2020 ikitetea uchaguzi wa kipuuzi. Ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Kwani hapa JF kuna criteria Id ya Oktoba isizungumzie namna Waitara alivyoisambaratisha Cdm? Tumia akili kamanda.
 
Kwani hapa JF kuna criteria Id ya Oktoba isizungumzie namna Waitara alivyoisambaratisha Cdm? Tumia akili kamanda.
Nasema hivi, ifanyie kazi vizuri hii Id ya october, lakini ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura fullstop.
 
Back
Top Bottom