Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,445
- 205,933
Utawaweza vijana wa siku hizi udhungu mwingi hizo My hazina maana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utawaweza vijana wa siku hizi udhungu mwingi hizo My hazina maana
Hahah! Ay basi muda sio mrefu naondoka zanguBasi nenda bandani ukaangalie UROPA huko
Niliiona comment yako uliyomtag ukiwa umekosea kuandika jina lake kwa usahihi ila baadae ndio ulieditHahah!! Unanitafutia ubaya adi kwenye kutaja jina tu sasa
[emoji23][emoji23]
Hakuna kitu huyo muongo tu dhumuni la post yake lilikua ni kinichafua tuKuna kitu kasema Mwifwa hapo juu nadhani ndivyo ilivyokuwa rafiki.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Utawaweza vijana wa siku hizi udhungu mwingi hizo My hazina maana
Hahah aisee basi upo vizuriHahahahahaaaaa.
Nina my wangu wengi utaweza kuniangusha kwa wote
Hapo nitapumua[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahah! Ay basi muda sio mrefu naondoka zangu
Wala tuu akiUshauzwa wewe
MmmhhhHakuna kitu huyo muongo tu dhumuni la post yake lilikua ni kinichafua tu
Sikukosea jina aisee sema tu sikuacha space between her name and next word...Niliiona comment yako uliyomtag ukiwa umekosea kuandika jina lake kwa usahihi ila baadae ndio uliedit
Hao ni wageni sana machoni mwanguNitangulize shukrani,
house girl na Asmaa80 (huyu nahisi kabadili id)
OkSikukosea jina aisee sema tu sikuacha space between her name and next word...
Mmh uzungu sasa umevamiwa
Ni member wa muda mrefu tu haoHao ni wageni sana machoni mwangu
Ushiriki wao wa mijadala ni hafifu sana ndio maana hawajulikani kwa watu wengiNi member wa muda mrefu tu hao
Asmaa80 alikuwa anashiriki vizuri tu, tena alikuwa anatoa ushauri mzuri sana, ila huyu nahisi kabadili ID, na housegirl nae alikuwa ni mshiriki mzuri tu sema huyu anamapenzi ya kizungu mnoUshiriki wao wa mijadala ni hafifu sana ndio maana hawajulikani kwa watu wengi