Mwite msichana yeyote humu JamiiForums akiitika tu basi nenda kamalizane naye PM

Mwite msichana yeyote humu JamiiForums akiitika tu basi nenda kamalizane naye PM

Ushiriki wao wa mijadala ni hafifu sana ndio maana hawajulikani kwa watu wengi
Asmaa80 alikuwa anashiriki vizuri tu, tena alikuwa anatoa ushauri mzuri sana, ila huyu nahisi kabadili ID, na housegirl nae alikuwa ni mshiriki mzuri tu sema huyu anamapenzi ya kizungu mno
 
Back
Top Bottom