Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #21
😋Ni kweli kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😋Ni kweli kabisa
Ila DAR zinaibiwa sanga nguo za ndani za kike, aisee sijui zina nini?
Mitano tenaUsiku wa kuamkia leo kibaka aliingia ndani na akafanikiwa kuchomoka na decoder ya Dstv, uzuri tukashtuka tukaanza kupiga kelele za mwizi huku tukimfukuza.
Tukiwa tunaendelea kumfukuza mwizi wetu, tukasikia tena kelele zikitokea kwenye nyumba jirani, mwizi huyo anaruka kaiba simu!!!! Majirani wakaunga tela kufukuza mwizi wa simu.
Wale wezi wakawa wamekimbilia njia moja, huku kelele zikiendelea, mwiziii huyoooo, kaiba dekodaaaaa. Kundi lingine, mwizi huuyooooo kaiba simuuuuu.
Baada ya dakika kadhaa mwizi mmoja kapiga kelele, wote tusimame, naye akasimama, tukawa kwenye bumbuwazi.
Mwizi wa dekoda akasema, mbona kundi kubwa linaniandama?
Mnaofukuza mwizi wa simu kaeni upande wa kushoto.
Mnaofukuza mwizi simu kaeni kulia.
Jamaa wakaenda kulia. Mwizi akasema kila mtu afukuze mwizi wake.
Akaanza Tena kutoka mbio ili tuanze tena kumfukuza🤣😂😅
Kuna vitu unavipenda mno!Weeehh...!!!
Wanazifanyia nini sasa wanaoziiba...!???
Au ndo mitumba, ile ya reo reo ya reo reo ya reo mali mpya imeingia mpende mkeo kifuli mia mia [emoji28][emoji28][emoji28]
Ukifika ya Saba utanikuta.Nshaanza kuota mie, niko ndoto ya sita 😅
Ukifika ya Saba utanikuta.
Seven wonders
Unataka Taj Mahal au Hanging Gardens of Babylon?🥂🥂🥂👍🏼👍🏼😆😆😆
Weeehh...!!!
Wanazifanyia nini sasa wanaoziiba...!???
Au ndo mitumba, ile ya reo reo ya reo reo ya reo mali mpya imeingia mpende mkeo kifuli mia mia 😅😅😅
Unataka Taj Mahal au Hanging Gardens of Babylon?
Zipu ikafungukaje yenyewe?Huyu kibaka wa Dar na si mwizi, hata wafukuzaji wa Dar pia, nilishudia anapigwa mmoja zipu ikafunguka jamaa wakaacha kupiga wakamwambia "mshikaji funga basi zipu yako hapo chini" [emoji15][emoji15][emoji15]. Yaani kibaka anawapangia jinsi ya kumkimbiza!! [emoji3][emoji3][emoji3]
Mrembo umeona shughuli hiyo?Toobaaah...!!!