Mwizi kachomwa moto muda huu Kariakoo

Mwizi kachomwa moto muda huu Kariakoo

Katika kitabu Cha suratul al tawrat kwenye Qur'an tukufu mola mlezi alikwisha kuandika katika amri zake ya kwamba usiibe. Naye atakaye Iba ni dhambi na halali yake akatwe vidole vya mikono na hata mwili ikiwa atarudia makosa hadhaa.

Ukitenda dhambi fahari yake ni maut basi watu wa mola mlezi jitahadharini. Allah Akbar.
 
Aliepora simu ya laki 2 anakula moto wakati mijizi mitukufu iliyokubuhu inakula tu nchi bila wasiwasi na kutoza toza kila uchwao nyambaf
FxVNmtJWwAASMdX.jpeg
 
Hivi wadau kumbe style ya wizi Ile ya mtu kujifanya umemkanyaga anakugusa halafu unaibiwa bado ipo aisee.

Leo kuna mwizi kajaa kwenye kumi nane za watu hapa Kariakoo kamgusa mtu sijui alishawahi kuibiwa Kwa aina hii si ndio kamshtukia kamwitia mwizi aisee jamaa kaunguzwa muda huu ni noma.
Picha muhimu Sana ku support hii habari yako (taarifa)
 
Back
Top Bottom