Ila Yesu na Nabii Issa ni vitu viwili tofauti kabisaWana wa mungu wapo wengi sana kwenye biblia, siy Yesu pekee. Tusidanganyane:
Neno "mwana wa Mungu" linatumika katika Biblia kutaja wanadamu ambao wana uhusiano wa pekee na Mungu.1. Katika Agano la Kale, taifa la Israeli, Sulemani, malaika, na wafalme wa Israeli wote huitwa "wana wa Mungu"1. Katika Agano Jipya, Yesu wa Nazareti anatambuliwa kama Mwana wa Mungu2. Yesu alikubaliwa kama Mwana wa Mungu na Mungu Baba, kwa miujiza yake, kwa ufufuo wake, na kwa wafuasi wake.2.
Utuombeeeeeee!!Mtakatifu kambarage...!!!!!!!!!!!!
Mtakatifu mzimu wa mvua!Katika pita pita zangu nimekutana na barua ya kanisa Katoliki Tanzania ambayo inaonyesha kwamba kanisa lipo katika mchakato wa kumtangaza Baba wa taifa, Rais wa kwanza wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mwl. Julius K. Nyerere kuwa mtakatifu/mwenye heri.
View attachment 2813930
aisee!!!!!,,,kufukia mashimo ya papa ni kazi!!!!!!!!!!!!!!!!!!Katika pita pita zangu nimekutana na barua ya kanisa Katoliki Tanzania ambayo inaonyesha kwamba kanisa lipo katika mchakato wa kumtangaza Baba wa taifa, Rais wa kwanza wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mwl. Julius K. Nyerere kuwa mtakatifu/mwenye heri.
View attachment 2813930
Nyerere ameacha mfumo mbaya kabisa wa utawala ktk nchi hii ya Tz, halafu ndio awe Mtakatifu??My Take
Soon Wakatoliki wa Tanzania mtaanza kumuabudu marehemu mwl.Nyerere kama Moja ya watakatifu wenu.
Kama kigezo ni kushinda tamaa ya Mali sawa ila kwingineko Kuna ukakasi.Msije kushangaa pia siku Moja mkaambiwa Mwendazake atakuwa Mtakatifu wenu na mtamuabudu pia 😁😁
View: https://twitter.com/MwananchiNews/status/1726084300813320420?t=yVlEJx5G0at4v0Xr-4HUMg&s=19
Ndie mwaisi wa watu wasiojulikana na kupoteza wengineNyerere ameacha mfumo mbaya kabisa wa utawala ktk nchi hii ya Tz, halafu ndio awe Mtakatifu??
Umaskini na ufukara uliokubuhu uliopo Tz umeasisiwa na Nyerere pamoja na CCM yake aliyoiasisi.
Gubu la nini? Mwl.Nyerere na Mwendazake ndio watakatifu wenu hao 😁😁Acha wivu na gubu. Nani amekwambia tunamuabudu!!?
Mkuu kama qlitubu kwa nani? Kwa Mungu au Hawa wanaotaka kumtangaza mtakatifu.