lendila
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 5,805
- 4,375
Viongozi wengi walioko madarakani wanajifanya kumuenzi Nyerere lakini ni uongo mtupu, kila siku wanajidai kuwa magorofa yameongezeka posta na ni maendeleo lkn wanasahau kuwa maendeleo ni watu na sio vitu, naomba.ujumbe huu umfikie mwingulu
Maendeleo ni watu, siyo vitu
NUKUU YA MOJA KWA MOJA
'Tukakubaliana kwamba maendeleo hayana budi yawe yana uhusiano na maisha ya watu, hainabudi uyapime yamefanya nini kwa watu, A. Zile pesa hamkuzipaa kwa kunyonya watu au kwa kuuza bangi
B. Mnazitumiaje katika kuleta maendeleo ya watu
kwa hiyo msingi wa kwanza tunaousema pale ni kwa development has to be people centred, to be meaningfull development must be people centred, kama sio people centered haiwezi kuwa development ya kweli, ni maneno
Sasa kama ni people centered, haiwezi kutaja tu kwamba wanashiba sana, kushiba ni kitu kizuri au wanavaa vizuri lakini tunapaswa kutaja... tutaje elimu yao, tutaje afya yao, kuvaa kwao usafiri wao, utamaduni wao na uhuru wao, demokrasi