Hiyo clip inasema .......
"And we say it can be brought about by themselves "
Ndivyo Mwl Nyerere alivyosema
lakini
Anti anasema serikali ndio ilete hayo maendeleo ya watu , sasa sijui serikali ya Anti itawajengea nyumba au kuwashikisha pesa watu mkononi .
Pia rejea kauli ya Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa aliposema kila Mtu ataubeba Msalaba wake Mwenyewe, ingawa haya Maneno kisiasa yataonekana hayafai lakini my ukweli inataka kusema kila Mtu ajitambue na kufanya lilojema kwake na Familia yake nalo ni kujitegemea na kuleta maendeleo yake mwenyewe