PMsechu
Senior Member
- Nov 12, 2016
- 153
- 143
Tungelingalisha hizi Mbingu walizoenda hawa wakuu kama zinafanana au stor zinauelekeo wa kuwa sawa alafu tulinganishe na maandiko basi tutapata ukweli, kwanza alitumia njia ipi kufika uko wakati katika mwili gan au roho gan.? Kwa sababu Yesu Kristo mwenyewe kuenda Mbinguni ilibidi kubadili mwili tofauti na ule wa kawaida aliokuwa anautumia hapa dunia kabla ya kufa na kufufuka.!