MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,967
- Thread starter
- #341
Sikia huyu mwamba akiusifia uislam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia wee boss wa shirikaDah..!!! Kuna ujinga sitaki hata kuusikia
Bhanaee usintishe bhana. Nyie ndio mnaofanya mzaha na mambo ya Mungu. You can't think by yourselves. Mnapelekwa pelekwa kiboyaboya tu ...mnapokea kila kitu. Hamfiki mahala mkawa na uchanganuo like anayeongea pale ni Mungu au Binadamu..., Mnabeba kila kitu kama kokoro la kuvulia samaki lililopigwa marufuku.
Na ndio maana sio watu wa kufanya Maamuzi wala Uthubutu kwasababu ya Kukosa utayari wa kukubaliana na ukweli.
Mnapenda kufundishwa mambo ya Mungu na wanadamu...tangu ukiwa mtoto unapelekwa na wazazi kanisani mpaka UTU uzima huo haujaweza kujisimamia / kusimama na Mungu wako. Unataka kila kitu ukaririshwe na wanadamu. Acha pigo hizo Bob! Too much of everything is always harmful!!! Stuka mtu wangu before it's too late!
AsanteNashukuru
Jamaa alivuoiweka ni kama alikuwa na kusudi la upotoshaji.Nimemsikiliza vizuri Sana ..na kasema kama ulivyosema ila mbona kaanza Kwa kusema " "wakati nimelala nikanza kuona maono nafsi inavyo nyanyuka mpaka kufika mbinguni akaanza kuona hayo maono ya kukuta na huyo Musa na akajihami usiulize amemjuaje akasema alitambulishwa ...
Sasa wewe unavyoiweka ni kama ya mama mdogo wako zumaridi..acha upotoshaji man.. mbona unakuaga mjinga we mzee
Kuhusu swala la kwenda mbinguni Mwakasege na Zumaridi wote ni waongo ..... Labda tuwajaji kwa matendo yao katika jamii mmoja anaweza mzidi mwingineUnakubali kauli ya mtu kutokana na matendo yake.Kwa vitendo vya Zumaridi wewe unaona ni KWELI???
Sina agenda ovu Ndugu. Napenda watu wamjue Mungu , na pia waijue nguvu iliyomo kwenye Neno lake Takatifu.Jamaa alivuoiweka ni kama alikuwa na kusudi la upotoshaji.
Watumishi, wengi hupata dhihiriko la Mungu. Mungu hujifunua kwao kwa namna mbalimbali. Hapa naongelea watumishi siyo matapeli. Zamaaani sana nilisikia tukio kama hili kwa Askofu Kulola. Naamini ukimtumikia Mungu kwa uamimifu wa kiwango fulani kuna wakati Mungu anakupa motisha ya either kuyajua mambo yake fulani. Yanaweza kuwa kuhusu uzuri wa mbinguni, jehanum na kuzimu au kutambuaatukio muhimu yajayo ili kanisa lijiandae.
So hakuna cha ajabu zaidi ya mtoa mada kuwa na agenda ovu kwa mtumishi
nahisi wa2mishi wengi siku izi wanakula msuba!!Wadau kwema?
Nipo hapa nafuatilia Semina ya Neno la Mungu - Dodoma mubashara kabisa kupitia Upendo TV (Huduma ya Mana)
Mwalimu Mwakasege naye anasema eti eti alienda Mbinguni akakutana na Musa, na pia akakutana na Yesu na akapiga nao story. Na kasema eti Yesu kamwambia yuko njiani anarudi.
Dah! Hii kitu imekaaje wadau?
Alianza Nabii Mkuu Geordavie then Zumaridi na sasa Mwl. Mwakasege.
Mbinguni hiyo vipi wadau, mbona sielewi mapichapicha haya!!!
Mbinguni dah! Aloo mbinguni!!!
(Mmh!..hahahaha ...mhhh!...hahaha) Twibhwa nabazenganwa! Ehenao yaya gete....bagoshaaaaa!!!! Alichene!
!View attachment 2593179
Watumishi wengi sasa wameishajua kua watu wengi wanatamani kufika Mbinguni,....so wanatumia hiyo swaga ya kusema huwawanaenda mbinguni kukutana na malaika, Mitume na Manabii ,ili kuwahadaa na kuwavuta zaidi kwenye makanisa yao.nahisi wa2mishi wengi siku izi wanakula msuba!!
noma sanaWatumishi wengi sasa wameishajua kua watu wengi wanatamani kufika Mbinguni,....so wanatumia hiyo swaga ya kusema huwawanaenda mbinguni kukutana na malaika, Mitume na Manabii ,ili kuwahadaa na kuwavuta zaidi kwenye makanisa yao.
Wadau kwema?
Nipo hapa nafuatilia Semina ya Neno la Mungu - Dodoma mubashara kabisa kupitia Upendo TV (Huduma ya Mana)
Mwalimu Mwakasege naye anasema eti eti alienda Mbinguni akakutana na Musa, na pia akakutana na Yesu na akapiga nao story. Na kasema eti Yesu kamwambia yuko njiani anarudi.
Dah! Hii kitu imekaaje wadau?
Alianza Nabii Mkuu Geordavie then Zumaridi na sasa Mwl. Mwakasege.
Mbinguni hiyo vipi wadau, mbona sielewi mapichapicha haya!!!
Mbinguni dah! Aloo mbinguni!!!
(Mmh!..hahahaha ...mhhh!...hahaha) Twibhwa nabazenganwa! Ehenao yaya gete....bagoshaaaaa!!!! Alichene!
!View attachment 2593179
Kama si ajenda basi uelewa wako ni mfinyu kwenye neno la Mungu. Mtu akiendelea kubishana nawe ni sawa na kubishana na kipofu aiyeona njiaSina agenda ovu Ndugu. Napenda watu wamjue Mungu , na pia waijue nguvu iliyomo kwenye Neno lake Takatifu.
Hivi sasa katika Taifa letu, kumekua na ukatili mkubwa sana + mmomonyoko wa maadili. Hii yote ni kwasababu watu wengi wamekosa kumjua Mungu wa kweli + kuiishi nguvu ya Neno lake.
Hawa watu wanaojiita wafundishaji, wahubiri au watoa huduma wa Neno la Mungu kama tukiendelea kuwachekea pasipo kuwa challange , ni wazi Taifa letu litaendelea kuwa la hovyo sana.
Nilichofanya ni kutoa taarifa tu. Sibishani na mtu hapa na wala sina haja ya kubishana na mtu. Hakuna mtu anayeweza kunihadaa kwà kile ninachokiamini...maana hakijatokana na kuaminishwa na wanadamu bali kimetokana na kuaminishwa na Roho Mtakatifu katika Jina la Yesu Kristo ( YESHUAH HA-MASHIACH) aliyehai.Kama si ajenda basi uelewa wako ni mfinyu kwenye neno la Mungu. Mtu akiendelea kubishana nawe ni sawa na kubishana na kipofu aiyeona njia
Ahahahaaa hao watu wanakera sana. Badala ya kumuaminisha mtu kazi ndiyo itampa kipato, wao wanawaaminisha kuwa maombi yatawapa kipato. NDO MAANA UTASIKIA I RECEIVETulia wee boss wa shirika
Sikia huyu mwamba akiusifia uislamView attachment 2593820
Sikia huyu mwamba akiusifia uislamView attachment 2593820
Mkristo. Mungu ni mmoja!Wewe ni mwislamu