Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naye ameanza kuchanganyikiwa
Hivi kudanganya watu ndiyo mbinu ya kuwavuta?
Nimekaa paleKwan kukutana na Yesu ni ajabu au unaona ni jambo la kuogofya
Namfuatilia hapa via Upendo TV...Naye ameanza kuchanganyikiwa
Hivi kudanganya watu ndiyo mbinu ya kuwavuta?
Acha uongo Ndugu. Acha kupotosha!Usipende sana kuamini habari za mitandaoni bila ushahidi wa kutosha mkuu.
Nikupe taarifa tu kwamba mleta mada ni mfuasi wa Mtume na nabii wa kizazi kipya mwenye biashara yake pale maeneo ya 'Cow-way' na amekuwa akimponda sana Mwalimu Mwakasege. Nadhani anafikiri Mwakasege ni tishio kwenye biashara yao.
Asante mkuu kwa kuweka clarification maana nimekuwa wa mwisho kuamini haya mambo japo sijaona alichodai huyu Mzee wa KipusaNimemsikiliza vizuri Sana ..na kasema kama ulivyosema ila mbona kaanza Kwa kusema " "wakati nimelala nikanza kuona maono nafsi inavyo nyanyuka mpaka kufika mbinguni akaanza kuona hayo maono ya kukuta na huyo Musa na akajihami usiulize amemjuaje akasema alitambulishwa ...
Sasa wewe unavyoiweka ni kama ya mama mdogo wako zumaridi..acha upotoshaji man.. mbona unakuaga mjinga we mzee
Acheni hizi pigo. Jipeni likizo ya kutowasikiliza hawa watu, msikilizeni roho Mtakatifu, ...atawakumbusha kila kitu.Asante mkuu kwa kuweka clarification maana nimekuwa wa mwisho kuamini haya mambo japo sijaona alichodai huyu Mzee wa Kipusa
🙏Nikupe taarifa tu kwamba mleta mada ni mfuasi wa Mtume na nabii wa kizazi kipya mwenye biashara yake pale maeneo ya 'Cow-way' na amekuwa
Ipo siku nitamchana hapa huyo unayemsema afu ndio utanishangaa zaidi[emoji120]
Inawezekana labda ni kweli au sio kweli, ili tumalize utata ungetuletea hicho kipande Mkuu sasa picha haitoi maneno ndio maana nashindwa kuamini haya.Acheni hizi pigo. Jipeni likizo ya kutowasikiliza hawa watu, msikilizeni roho Mtakatifu, ...atawakumbusha kila kitu.
Hawa watu hawawapi ukweli wote,...ni half truth tena iliyojaa mashaka sana
Kuna watu ambao wamekoment kusema na wao pia walimsikia...lakini kwakua ni wafuasi wake...hawakua na utayari wa kufunguka kwasababu ya hofu / woga wa kuwakosoa watumishi wa Mungu...Inawezekana labda ni kweli au sio kweli, ili tumalize utata ungetuletea hicho kipande Mkuu sasa picha haitoi maneno ndio maana nashindwa kuamini haya.
We endelea kukaa ukichoka utaondokaNimekaa pale
Go to hell MdhambiHuyu ni kondoo wa Mwakasege amba hataki kusikia lolote baya Kuhusu Mwakasege,na hata akiambiwa Mwakasege kakutwa na mkeo,huyu atabisha,hata akionyeshwa Kuwa Mwakasege yule pale yupo na mkeo bado atabisha.
Mawakala wa Ibilisi mko na stress mingi sanaHajaandika uongo,nimesikiliza mwanzo mwisho tangu kusifu na kuabudu