Mwl. Mwakasege: Nilienda Mbinguni nikaongea na Yesu na Musa

Mwl. Mwakasege: Nilienda Mbinguni nikaongea na Yesu na Musa

Hakika, ameiona anaachwa nyuma kwa mbali na kasi kubwa sana na kina Zumaridi.
Mashindano yote duniani kanuni yake ni moja tu "Usipoweza kushindana na mshindani wako basi ungana nae" ndicho alichoamua Mwakasege
 
Mzee wa Sadaka.....analipenda Sana Hilo somo....Utasikia Cain alimtolea Mungu Sadaka iliyonona,japokuwa amekufa Sadaka yake ingali inanena......TOENI SADAKA JAMANI
 
Mzee wa Sadaka.....analipenda Sana Hilo somo....Utasikia Cain alimtolea Mungu Sadaka iliyonona,japokuwa amekufa Sadaka yake ingali inanena......TOENI SADAKA JAMANI
Afu anavyolitamka kwà mbwembwe sasa " SADAKA".

Jana wakati anaanza kuhubiri , kitu cha KWANZA kukisema ni KUTOA SADAKA,....na mwisho akasema kitu hicho hicho...

Yaani akili yake yote ni kwenye SADAKA....meaning behind the camera kuna baadhi ya mambo wanataka yaende na yanahitaji pesa...so mtu mpaka anapanda kwenye stage akili inafikiria hela
 
We tena akishatamkaa SADAKA,anabinua kidevu chake in a very serious note,halafu anaanza kuumba tenzi Fulani inaimba"Nasikia kuitwa,na sauti yake,nikasafishwe kwa damu ya kuangikwa kwake"wewee mwenyewe unafungua pochi bila kushurutishwa unabakiza nauli tu Hapana chezea Upako😅😅😅
 
Zumaridi alipofika mbinguni akauliza kama wanaifahamu timu ya Yanga, akaambiwa hawaijui kabisa[emoji16]
 
We tena akishatamkaa SADAKA,anabinua kidevu chake in a very serious note,halafu anaanza kuumba tenzi Fulani inaimba"Nasikia kuitwa,na sauti yake,nikasafishwe kwa damu ya kuangikwa kwake"wewee mwenyewe unafungua pochi bila kushurutishwa unabakiza nauli tu Hapana chezea Upako[emoji28][emoji28][emoji28]
Ngachoka mie [emoji42]
 
Wadau kwema?

Nipo hapa nafuatilia Semina ya Neno la Mungu - Dodoma mubashara kabisa kupitia Upendo TV (Huduma ya Mana)

Mwalimu Mwakasege naye anasema eti eti alienda Mbinguni akakutana na Musa, na pia akakutana na Yesu na akapiga nao story. Na kasema eti Yesu kamwambia yuko njiani anarudi.

Dah! Hii kitu imekaaje wadau?

Alianza Nabii Mkuu Geordavie then Zumaridi na sasa Mwl. Mwakasege.

Mbinguni hiyo vipi wadau, mbona sielewi mapichapicha haya!!!

Mbinguni dah! Aloo mbinguni!!!

(Mmh!..hahahaha ...mhhh!...hahaha) Twibhwa nabazenganwa! Ehenao yaya gete....bagoshaaaaa!!!! Alichene!
!View attachment 2593179
Wote matapeli tu hao
 
Namfuatilia hapa via Upendo TV...

Kawaambia vijana wasijibizane kwenye social media.....Meaning kaiona hii thread.

Now anawapa matongo pori ya kuwakeep ili wasipate nafasi ya kumtoroka.

Anawajengea mindset...waache kuwasikiliza wanaomchallange
Wewe kaka inaonyesha Mwakasege ni tishio sana kwako..au wewe ndio Mwamposa??? Kwanini unamfatilia mtu usiyemkubali? Naona unakazana sana kumpaka matope Mwl Mwakasege ili na wengine wamchukie...nafikiri Mwakasege anawanyima usingizi nyie kina mwamposa. Mmemshindwa rohoni sasa mnakuja mwilini...poleni sana.
 
Afu anavyolitamka kwà mbwembwe sasa " SADAKA".

Jana wakati anaanza kuhubiri , kitu cha KWANZA kukisema ni KUTOA SADAKA,....na mwisho akasema kitu hicho hicho...

Yaani akili yake yote ni kwenye SADAKA....meaning behind the camera kuna baadhi ya mambo wanataka yaende na yanahitaji pesa...so mtu mpaka anapanda kwenye stage akili inafikiria hela
Huko kwa mwamposa huwa hamtoi sadaka?
 
Wewe kaka inaonyesha Mwakasege ni tishio sana kwako..au wewe ndio Mwamposa??? Kwanini unamfatilia mtu usiyemkubali? Naona unakazana sana kumpaka matope Mwl Mwakasege ili na wengine wamchukie...nafikiri Mwakasege anawanyima usingizi nyie kina mwamposa. Mmemshindwa rohoni sasa mnakuja mwilini...poleni sana.
Mimi sio Mwamposa. Usimsingizie huyo jamaa. Au mpaka nipost thread ya kumponda ndio utajua kuwa sina urafiki nae?

Mwamposa hausiki hapa. Acheni kuukimbia ukweli mkadhani nimetumwa na Mwamposa. KWANZA hata yeye akiona mnamtaja hapa atawashangaa sana. Acheni kujihisi
 
Back
Top Bottom