Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ujinga wewe,una ushahidi wa Aya za Qur'an juu ya Hilo!?..mi ukitaka ntakuonesha Aya za Qur'an zinazozungumzia swala akiwa hapa hapa dunianiHata kwenye uislam mtume alienda mpaka mbingu ya saba akakutana na mitume yote ,na ndio akapewa swala tano huko
Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
Acha ujinga wewe!Kimsingi hakuna platform ya hovyo humu duniani kama JF, ni mtandao ambao umejaa wachawi na mawakala wa shetami na ndio maana kikiandikwa kitu chochote kimuhusucho Mungu, yatatokea mashambulizi na kashfa nzito sana za kila namna ila kwa umri na muda niliomtumikia Mungu nafahamu Mungu anajifunua kwa watu wengi yeyr binafsi na pia kuwafunulia kuhusu mbingu. Binafsi, nashuhudia kumuona mwenye haki Yesu Kristo si chini ya mara 4 toka nikiwa mdogo. Pia nashuhudia, Mungu kunifunulia na kuiona mbingu.
Kuhusumbingu, nakumbuka ilikuwa 2016. Siku hiyo niliamka kama kawaida saa 9 alfajiri na kusali. Ilipofika saa 11:45 nikasema nilale ili nikiamka niende kazini. Nilipolala kama saa 12 alfajiri niksona Malaika ananiambia nimetumwa nikufuate. Akanishika mkono, nikaoba natoka kwenye mwili upande wenye moyo. Nikapita kwenye bati la nyumba bila kizuizi. Safari ya kupanda juu ikaanza kwa speed ya ajabu. Nikaangalia chini na kuona mwili wangu, mke na mtoto wangu wamelala kitandani. Unaona nyumba na miti ya duniani, unaona kadunia kalivyo kadogo then unafika katika nchi ile ambayo "watu" wanaimba na kuabudu na tuliimba "Bwana Mungu nashangaa kabisa"
Sijui nielezeje muonekano wake nchi ile ila ni nzuri na ya meta meta. Hali ya hewa na mazingira ni tofauti na huku duniani. Nchi ile ni kweli na mji ule ni kweli. Jitahidi usikose kuingia mji ule.
Baadaye nikaambiwa turudi na kwa speed ya ajabu, najikuta naingia mwilini mwangu upande wa kushoto kwenye moyo, mwili ukawa kama umepigwa "shot" nikashtuka.
Kwahiyo unakataa kwamba kwenye uislam hakuna kisa chochote cha mtume kwenda mbingu ya saba kwa usiku mmoja,wala farasi anayeitwa buraq,wala kitu kinachoitwa isra,wala kupaa kutokea msjid Aqsa.Acha ujinga wewe,una ushahidi wa Aya za Qur'an juu ya Hilo!?..mi ukitaka ntakuonesha Aya za Qur'an zinazozungumzia swala akiwa hapa hapa duniani
Kumbe huyWadau kwema?
Nipo hapa nafuatilia Semina ya Neno la Mungu - Dodoma mubashara kabisa kupitia Upendo TV (Huduma ya Mana)
Mwalimu Mwakasege naye anasema eti eti alienda Mbinguni akakutana na Musa, na pia akakutana na Yesu na akapiga nao story. Na kasema eti Yesu kamwambia yuko njiani anarudi.
Dah! Hii kitu imekaaje wadau?
Alianza Nabii Mkuu Geordavie then Zumaridi na sasa Mwl. Mwakasege.
Mbinguni hiyo vipi wadau, mbona sielewi mapichapicha haya!!!
Mbinguni dah! Aloo mbinguni!!!
(Mmh!..hahahaha ...mhhh!...hahaha) Twibhwa nabazenganwa! Ehenao yaya gete....bagoshaaaaa!!!! Alichene!
!View attachment 2593179you
Kumbe Huyu nae bumundaAcha ubishi, nimemsikia na kumuona live .....nikabaki nashangaa tu. View attachment 2593185
Heading tu peke yake ni uongoWadau kwema?
Nipo hapa nafuatilia Semina ya Neno la Mungu - Dodoma mubashara kabisa kupitia Upendo TV (Huduma ya Mana)
Mwalimu Mwakasege naye anasema eti eti alienda Mbinguni akakutana na Musa, na pia akakutana na Yesu na akapiga nao story. Na kasema eti Yesu kamwambia yuko njiani anarudi.
Dah! Hii kitu imekaaje wadau?
Alianza Nabii Mkuu Geordavie then Zumaridi na sasa Mwl. Mwakasege.
Mbinguni hiyo vipi wadau, mbona sielewi mapichapicha haya!!!
Mbinguni dah! Aloo mbinguni!!!
(Mmh!..hahahaha ...mhhh!...hahaha) Twibhwa nabazenganwa! Ehenao yaya gete....bagoshaaaaa!!!! Alichene!
!View attachment 2593179
Mpuuzi huyu unamsikiliza?Hii imekuja ghafla sana, mbona wakati anaenda hakutwambia tumuagize kwa Yesu
Astaafu Kwa mujibu w nani?Ifike mahali hawa wahubiri wastaafu maana wanazidi kuharibu
Tuma video mkuuWadau kwema?
Nipo hapa nafuatilia Semina ya Neno la Mungu - Dodoma mubashara kabisa kupitia Upendo TV (Huduma ya Mana)
Mwalimu Mwakasege naye anasema eti eti alienda Mbinguni akakutana na Musa, na pia akakutana na Yesu na akapiga nao story. Na kasema eti Yesu kamwambia yuko njiani anarudi.
Dah! Hii kitu imekaaje wadau?
Alianza Nabii Mkuu Geordavie then Zumaridi na sasa Mwl. Mwakasege.
Mbinguni hiyo vipi wadau, mbona sielewi mapichapicha haya!!!
Mbinguni dah! Aloo mbinguni!!!
(Mmh!..hahahaha ...mhhh!...hahaha) Twibhwa nabazenganwa! Ehenao yaya gete....bagoshaaaaa!!!! Alichene!
!View attachment 2593179
Mtume alitoka msikiti mtakatifu wa Makkah Hadi msikiti mtakatifu wa Jerusalem, Quran ipo hadhiri na Hilo,hayo ya kwenda mbinguni mnajua mmetoa kwa Mungu ganiKwahiyo unakataa kwamba kwenye uislam hakuna kisa chochote cha mtume kwenda mbingu ya saba kwa usiku mmoja,wala farasi anayeitwa buraq,wala kitu kinachoitwa isra,wala kupaa kutokea msjid Aqsa.
Katika mtu ninayemuheshimu humunJF ni pamoja na wewe ila hiki ulichoandika, inawezekana uliandika ukiwa umelewa maana hata wewe ukitulia na kusoma, sidhani kama utakielewa.Ukisikia mwanadamu anasema alienda mbinguni jua alipelekwa planet Saturn. Planet Saturn is the most developed planet in technology katika mfumo wetu wa jua( solar system). It is an alien planet.. Hayo ni Mafundisho ya siri kabisa ya taasisi za siri za kiimani... Some aliens who live in Planet Saturn have allowed a part of their consciousness to be reborn on planet earth in order to save humanity. Jesus is alleged to be one of them.
When Jesus ascended to Heaven he actually went to planet Saturn and when Prophet Muhammad claimed to be taken to the heavens ( safari ya Miraji) he was actually taken to this planet. ( according to the secret teachings of some secret societies)
Wanadamu wengi wenye nguvu za ziada za kiroho kama vile kufufua watu n.k nguvu zao wametoa planet Saturn.
Nikimsikiaga yule mchungaji mghana anaeishi Marekani kuhusu yeye kupelekwa mbinguni na vitu alivyo viona mbinguni plus kuwa na uwezo wa kufufua wafu huwa Nina jiridhisha pasi na shaka yoyote kwamba he is dealing with aliens from planet Saturn either with or without his knowledge.
Hata ile verse ya kwenye bible " Mungu" ana mwambia nabii " jenga mfano wa vile ulivyo viona mbinguni it was all about planet Saturn.
Kwenye bahari ya Hindi upande wa Tanzania kuna eneo ambalo ni portal inayo connect sayari ya dunia na sayari ya Venus ambayo ndipo yalipo makao makuu ya majini. So hapo baharini ni njia panda ( njia ya mkato/ short cut) inayo zikutanisha earth na Venus.
Kwenye Mlima Kilimanjaro ndio kuna portal inayo connect sayari ya dunia na planet Saturn.
Siri hii malkia wa Sheba alimpa Mwanae King Menelik baada ya kufa nyaraka za siri kutoka kwa mfalme Suleiman..
Katika harakati zake za kufika kwenye mlima Kilimanjaro ili aweze kufika hiyo portal inayo connect planet earth na planet Saturn, king Menelik alipoteza uhai wake akiwa juu kabisa ya kilele cha Mlima Kilimanjaro..
So Mwakasege yupo sahihi kabisa