Mwl. Mwakasege: Nilienda Mbinguni nikaongea na Yesu na Musa

Huwezi kuwa na Maono pasipo kuwa na maarifa ya kweli katika imani fulani.

Kama wewe ni mtu wa Mungu lazima uwe na maarifa ya kimungu ambayo yamejikita kwenye imani ya kiMungu and the vice versa.

Nataka kusema, mtu mwenye Maono lazima awe mtu wa kumeditate sana, kwasababu..

Meditation brings revelations and revelations brings Manifestation of the Spirit.

Na ndio maana Mimi napingana sana na mtu ambae anasema kajawa na roho Mtakatifu au kajawa na Neno la Mungu au alishawahi kwenda Mbinguni na hapo hapo anashindwa kumanifest (kuwekea mikono wagonjwa na wakapona, kusema chochote na kikatokea)

Kuna watu waovu wanakwenda chini ya bahari, wanaporudi ...wanafanya vitu na vinatokea ...kwà lengo la kuwaumiza/kuwaangamiza watu wasiokua na maarifa au maono
Nasikitika kwanza kukusingizia ukatoliki..basi nakuondoa kwenye ukatoliki nakuweka kwenye upagani kabisaa..yaan unaaingiza mambo ya meditation kwenye ukristo! Wakatoliki hawako hivyoo.meditation is all about paganism..hinduism..toka huko kijana MUNGU WA KWELI HAWEKEWI MIPAKA..watu wa rohoni hawahitaji meditation..maono unaweza ukafunuliwa hata ukiwa na watu wengine..ukiwa kwenye kaz zako..msomo mfalme daudi alivyoona malaika akiielekeza upanga Jerusalem ili aipige...msome ezekiel alivyooneshwa mifupa mikavu..oohh cameon..wakristo mnakwama wapi..someni biblia takatifu wacha kwenda kanisani mikono mitupu...you have to reas the bible daily
 
Wadau kwema?

Nipo hapa nafuatilia Semina ya Neno la Mungu - Dodoma mubashara kabisa kupitia Upendo TV (Huduma ya Mana)

Mwalimu Mwakasege naye anasema eti eti alienda Mbinguni akakutana na Musa, na pia akakutana na Yesu na akapiga nao story. Na kasema eti Yesu kamwambia yuko njiani anarudi.

Dah! Hii kitu imekaaje wadau?

Alianza Nabii Mkuu Geordavie then Zumaridi na sasa Mwl. Mwakasege.

Mbinguni hiyo vipi wadau, mbona sielewi mapichapicha haya!!!

Mbinguni dah! Aloo mbinguni!!!

(Mmh!..hahahaha ...mhhh!...hahaha) Twibhwa nabazenganwa! Ehenao yaya gete....bagoshaaaaa!!!! Alichene!
!View attachment 2593179
😂😂😂
 
YESU kweli yupo, husemezana na watu pia!
ISAYA 1:18 Haya, njoni, tusemezane, asema BWANA. Dhambi zenu zijapokuwa nyekundu sana, zitakuwa nyeupe kama theluji; zijapokuwa nyekundu kama bendera, zitakuwa kama sufu.

Mnapewa neema kila uchao muutafute uso wa MUNGU na muongee naye hamtaki, lakini mnaamini umbea, usengenyaji, majungu , fitna na maagizo ya waganga!
Lakini kupanga ni kichagua ndio maana kuna jehanamu na peponi! MUNGU wetu ni MUNGU wa haki kila mtu atalipwa sawa sawa na ujira wake!
Mshike sana YESU, usimkane maana hiyo siku na yeye atakukana mbele za uso wa baba yake!
 
When all people shall be wise in divine terms, Those bogus priests and false prophets who feed on ignorance of multitude will go hungry...

Huyo mwakasege ana hubiria watu maluwe luwe na mawenge ya usiku au ndoto za mchana.

Nightmares imagination just an illusion

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Nasikitika kwanza kukusingizia ukatoliki..basi nakuondoa kwenye ukatoliki nakuweka kwenye upagani kabisaa..yaan unaaingiza mambo ya meditation kwenye ukristo! Wakatoliki hawako hivyoo.meditation is all about paganism..hinduism..toka huko kijana MUNGU WA KWELI HAWEKEWI MIPAKA..watu wa rohoni hawahitaji meditation..maono unaweza ukafunuliwa hata ukiwa na watu wengine..ukiwa kwenye kaz zako..msomo mfalme daudi alivyoona malaika akiielekeza upanga Jerusalem ili aipige...msome ezekiel alivyooneshwa mifupa mikavu..oohh cameon..wakristo mnakwama wapi..someni biblia takatifu wacha kwenda kanisani mikono mitupu...you have to reas the bible daily
Soma Biblia wewe....

1. Psalm 19:14 “May these words of my mouth and this meditation of my heart
be pleasing in your sight, Lord, my Rock and my Redeemer.”

2. Psalm 119:15-16 “I will meditate on your precepts and fix my eyes on your ways. I will delight in your statutes; I will not forget your word.”
 
YESU kweli yupo, husemezana na watu pia!
ISAYA 1:18 Haya, njoni, tusemezane, asema BWANA. Dhambi zenu zijapokuwa nyekundu sana, zitakuwa nyeupe kama theluji; zijapokuwa nyekundu kama bendera, zitakuwa kama sufu.

Mnapewa neema kila uchao muutafute uso wa MUNGU na muongee naye hamtaki, lakini mnaamini umbea, usengenyaji, majungu , fitna na maagizo ya waganga!
Lakini kupanga ni kichagua ndio maana kuna jehanamu na peponi! MUNGU wetu ni MUNGU wa haki kila mtu atalipwa sawa sawa na ujira wake!
Mshike sana YESU, usimkane maana hiyo siku na yeye atakukana mbele za uso wa baba yake!
Anachofanya Mwakasege ndicho anachofanya Yesu? Unataka nimshike Mwakasege au nimshike Yesu?
 
Mwakasege ni kama barua tu! Sasa uhuru ni wako kuifungua kwa hasira uichane na baadhi ya maneno yachanike alafu ukose maana nzima ya barua, au uifungue kwa shauku ya kujifunza na isichanike na upate maana nzima ya barua hiyo!
Hakuna aliye juu ya YESU!

Rum 10:14-15 SUV​

Basi wamwiteje yeye wasiyemwamini? Tena wamwaminije yeye wasiyemsikia? Tena wamsikieje pasipo mhubiri? Tena wahubirije, wasipopelekwa? Kama ilivyoandikwa, Ni mizuri kama nini miguu yao wahubirio habari ya mema!
 
Tatizo haya mambo ya imani yote yamekaa kisirisiri, kilaghailaghai n.k

Natamani tungepata ushuda live wa pande zote mbili. wachawi watuoneshe kweli jinsi wanavyoruka ungo na wanavyuoenda kuzimu kukutana na Mkuu wao, Waislamu wenye nyota tano na wenyewe watuoneshe live jinsi wanavyopiga stori na majini, then na Wakristo wa nyota tano na wao watuoneshe mambo yao.
 
Ukichunguza hayo mambo ya kuponywa kwa mfumo wa dini mpaka mtu binafsi aombe dua mwenyewe kwa imani.

Ila itagundua waganga ndio hao wanafanya kweli kuwaweka matajiri wakubwa na ni kweli kwa masharti.

Viongozi wa dini wanachukua uchawi wanaponya watu wanasema ni dini ili mradi wapige pesa ,huko Nigeria wanaend sana kununua uchawi.
 
Wadau kwema?

Nipo hapa nafuatilia Semina ya Neno la Mungu - Dodoma mubashara kabisa kupitia Upendo TV (Huduma ya Mana)

Mwalimu Mwakasege naye anasema eti eti alienda Mbinguni akakutana na Musa, na pia akakutana na Yesu na akapiga nao story. Na kasema eti Yesu kamwambia yuko njiani anarudi.

Dah! Hii kitu imekaaje wadau?

Alianza Nabii Mkuu Geordavie then Zumaridi na sasa Mwl. Mwakasege.

Mbinguni hiyo vipi wadau, mbona sielewi mapichapicha haya!!!

Mbinguni dah! Aloo mbinguni!!!

(Mmh!..hahahaha ...mhhh!...hahaha) Twibhwa nabazenganwa! Ehenao yaya gete....bagoshaaaaa!!!! Alichene!
!View attachment 2593179
Akili za kuambiwa changanya na zako.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Usihukumu usije hukumiwa
Mtume Yohana alichukuliwa mpaka juu akajukishwa yote yatakayotokea katika siku ile ya mwisho.Je kuna jambo lolote linalomshinda Mungu .jibu hapana ,Kama umemkiri na kuifata sheria na kulishika neno lake Yeye aliye wahaki Kristo Yesu Mwana wa Mungu ,ni dhahiri shairi anaweza kukuita kwakwe na kukuonyesha yote.

"Ipo njia ionekanayo machoni pa mtu kama ni njia sahihi ,lakini humuongoza nautini" Yamkini kwa imani zetu haba na mafundisho yasiyo ya kweli tumeshindwa kuliamini neno lakuitwa na Bwana na kusema naye ,tukawa kama watu wa kipindi cha Nuhu na sodoma na Gomora ambao waliambiwa waicje dhambi na kutokuamini wakabaki kukashifu na kukejeli ,Ombi langu tusiwe miongoni mwao.

Mungubwa Bwana wetu Yesu Kristo atuondolee upofu wa mioyo na akili zetu.

YU karibu kurudi tutengeneze njia zetu .Kristo Yesu ameshinda yote
 
Ifike mahali hawa wahubiri wastaafu maana wanazidi kuharibu
 
Wadau kwema?

Nipo hapa nafuatilia Semina ya Neno la Mungu - Dodoma mubashara kabisa kupitia Upendo TV (Huduma ya Mana)

Mwalimu Mwakasege naye anasema eti eti alienda Mbinguni akakutana na Musa, na pia akakutana na Yesu na akapiga nao story. Na kasema eti Yesu kamwambia yuko njiani anarudi.

Dah! Hii kitu imekaaje wadau?

Alianza Nabii Mkuu Geordavie then Zumaridi na sasa Mwl. Mwakasege.

Mbinguni hiyo vipi wadau, mbona sielewi mapichapicha haya!!!

Mbinguni dah! Aloo mbinguni!!!

(Mmh!..hahahaha ...mhhh!...hahaha) Twibhwa nabazenganwa! Ehenao yaya gete....bagoshaaaaa!!!! Alichene!
!View attachment 2593179
Sina mbavu hahahahaha 😂😅😆😹🤣😸🤭
 
Back
Top Bottom