Mwl Mwakasege: Niliwahi kutoka nje ya mwili wangu nikaenda Mbinguni na kukutana na Nabii mkubwa, nikamtambua

Mbona mungu kajaribiwa sana tu au usomi dini ...hata wewe unaweza kumjaribu mungu ila kuna hatari ya dhambi
 
Ningekuletea uzi ambao niliwauliza wakristo kwanini yesu alijalibiwa majaribu 3 nini maana yake ...yale majatibu matatu ni ufunuo wa njia 3 za ibilisi kumwangusha mwanadamu ...kuna siku nilimsikia shekh anasema kuwa shetani umwangusha mwanadamu kwa njia mbili ...nikajua huyo shekh naye kashindwa kujua njia ya 3 ambayo shetani anamwangusha mwanadamu ...sasa nakushauri kasome upya yale majaribu kwa kutumia akili utagundua kitu ndani yake .....
Yule shekh alipatatia kuzitaja njia mbili za shetani kumwangisha mtu dhambini nazo ni
1) matamanio
2)madhira
3)....................jibu kama unayo akili

Maswali yako niya kijinga shetani anaweza kumjaribu yoyote hata wewe unaweza kumjaribu mungu hata kumtukana ...je nikikuuliza na mimi maswali ya kipumbavu kama yako mfano umesema mungu ni mungu tu ni mkuu sana awezi kujaribiwa je mbona mtu yoyote anaweza kumtukana huyo mungu mkuu unaye msema wewe hata sasa...je kama mungu mkuu hivyo anatukanajwe na viumbe vyake ....? Ni sawa na swali lako la kujaribiwa kwa yesu ...ni watu wangapi tunamtukana mungu na tupo tu kawaida wala mungu ajatuangamiza sekunde moja... je basi hakuna mungu ? Yesu alijaribiwa hadi na mafarisayo ...ukusoma yesu anawaambia mafarisayo mbona mnanijaribu ...akawaambia ipo wapi sarafu ni ya nani sura hii na chapa hii.....siyo yesu tu aliye jaribiwa.... Mungu huyo unaye msema naye kajaribiwa sana tu kasome maandiko ...hoja zako niza kijinga maana zinakufunga hadi wewe mwenyewe
 
Hivi nyinyi waislamu mmechanganyikiwa mbona sijibiwi maswali yangu hata siku moja tena nina watagi kabisa mnajificha kama amyaoni ...tena haya maswali ninayo wauliza humu ni maswali madogo na mepesi tu je nikiwauliza maswali magumu sindiyo mtakimbia JF kabisa ...nilitegemea leo asuhuhi nikute majibu kama 10 hivi nashangaa hakuna jibu hata moja ....basi muhammad awa laanini kwa kushindwa kutetea dini yakeπŸ˜•
 
πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚

Hivi hii biblia inafasiriwa kwa mtazamo wako uonavyo wewe au jinsi theology imemaanisha.

Na yule aliyepaa mbinguni na kuketi mkono wa kuume wa Mungu Baba mwenyezi ni nani
Majibu zaidi ...kumbuka msalabani yesu anamwambia yule mtu leo hii utakuwa nami pema peponi .....sasa tumia akili huyo ambaye leo atakuwa pema peponi ndiye aliye keti kitini yaani nafsi ya mungu...kisha tunasikia kuwa yesu kafa na kufufuka siku ya 3 na kupaa mbinguni ...tumia akili .....Baba ni nafsi ya yesu ndiyo mungu na mwana ni mwili ambao hiyo nafsi ya mungu ilikuwa ndani yake pasipo na nafsi ya mwanadamu ....mbona fafanuzi ipo wazi kabisa ...Nafsi ya Mungu haiwezi kufa hata sekunde moja kwa kuwa ndiyo mungu kilicho kufa ni mwili na siku ya 3 nafsi ya Mungu ikaulejea mwili ...ndiyo kufufuka kwa yesu kisha akapaa mbinguni mwili na nafsi ...nilisha eleza hapa Mungu ni nini na yesu ni nini na roho mtakatifu ni nini
1) MUNGU NI NAFSI YA MUNGU
2) YESU NI NAFSI YA MUNGU NDANI YA MWILI WA MWANADAMU USIO NA NAFSI YA MWANADAMU (hapa ndiyo uungu wa yesu ulipo jificha kama fumbo )
3)ROHO MTAKATIFU NI MWILI WA BINADAMU WENYE NAFSI YA MWANADAMU PAMOJA NA NAFSI YA MUNGU ( yaani nafsi mbili ndani ya mwili mmoja)
 
Ugumu wa kukuamini uyasemayo ni illusion.Akili ya binadamu inapoconcentrate sana kwa jambo moja magonjwa ya akili hutokea.Mathalani,shetani ni kitu cha kufikirika hivyo katika hali ya akili kuvurugika itaanza kuchannel mauzauza ambayo ni rahisi kuyasadiki kama shetani.Utaanthropomorphize shetani kwa umbo fulani,yesu kwa umbo fulani na hizi zote ni dalili za ugonjwa wa akili uitwao schizophrenia.Tatizo la magonjwa ya akili matibabu yake ni magumu mno.Bila ya shaka ndiyo maana serikali zinapiga marufuku matumizi ya bangi kwa kuhofia taifa kuathirika.
 
Hallucinations not illusion
 
Yani ukuu wa Mungu thamani yake ni kupanda farasi mweupe?! Yani hakuna kitu kingine nje ya imagination ya mwanadamu ambacho kitambeba huyo Mungu?!
Au kwa vile Farasi mweupe ni matamanio ya binadamu, mnaamua kumtwika na Mungu naye uwezo/hadhi yake ni kupanda farasi mweupe?!

Kwanini isiwe farasi mwekundu au mweusi au wa blue etc ili aonekane vizuri
 
Kwa iyo maziwa na asali nayo ndio vyakula mnavyoona vinafaa sana huko mbinguni?
 
Sema Tanzania tunapangwa sana na watu wajinga wajinga.
 
Njoo huku kuna maswali ya hoja yako MduduAli
 
Huyu mzee ameona vijana wa juzi, kina kapora, kuhani Musa, na kenge wengine, wanampiga bao kwa kukusanya maokoto kibao ya sadaka kutoka kwa mazwazwa, ameona na yeye atafute kiki ya kutokea.
 
Huyu mzee ameona vijana wa juzi, kina kapora, kuhani Musa, na kenge wengine, wanampiga bao kwa kukusanya maokoto kibao ya sadaka kutoka kwa mazwazwa, ameona na yeye atafute kiki ya kutokea.
Sasa hushangai matajiri kushuka kuzimu Ili kupata utajiri wa Damu,

Ila unashangaa Mwakasege kwenda Mbinguni!
 
Sasa hushangai matajiri kushuka kuzimu Ili kupata utajiri wa Damu,

Ila unashangaa Mwakasege kwenda Mbinguni!
Yupo sahihi kushangaa kwenda mbinguni...maana imeandikwa πŸ‘‰ njia ya uzima (kwenda mbinguni ) ni nyembamba tena ina vikwazo vingi ila iendayo kuzimu ni pana sana na imejaa anasa nyingi😁😁
Sasa hivi kina mwakasege ...kina zumaridi kina mwamposa wanakwenda mbinguni kama chooni tu tena choo cha wagonjwa wa kuhara wanapishana kila siku wakipigana vikumbo vya kutoka na kuingia mbinguni 😁😁😁 mbingu gani hiyo ni ile ile aliyo sema bwana yesu kuwa njia yake ni nyembamba nao waionao ni wachache Rabbon
 
Wazungu na waarabu washenzi sana walituachia Matango pori yaitwayo dini tunapigania kwenda peponi halafu waarabu wanachukua bandari zetu na wazungu wanachukua madini yetu. Sisi tunasubiri pepo mbaya zaidi kuna wengine wamedanganywA kuwa wasihangaike na mademu wa duniani mziki upo mbinguni mademu bikra 70 na utapewa tanker moja la alkasusu!
 
Sasa Kuna mwarabu atachukua bandari bila kukuroga Kwa kutumia majini Yao Ili usiwapinge?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…