Mwl Mwakasege: Niliwahi kutoka nje ya mwili wangu nikaenda Mbinguni na kukutana na Nabii mkubwa, nikamtambua

Mkuu Rabbon nina swali,
1. Hivi mbingu zipo gapi?
2. Mtu/ binadamu akifa na kama ameenda mbinguni je huwa wanakuwa mbingu ya gapi?

2. Mtu/binadamu akifa na ikiwa amepata neema ya kuingia mbinguni kabla ya ufufuo je huko mbinguni roho za wanadamu huwa zinapewa mwili tofauti na huu wa duniani au huwa zipo katika mwonekano upi?

3. Yesu Kristo aliwahi kusema, watu watakapofufuliwa wale watakao kuwa mkono wa kuume watakuwa kama malaika, maana malaika hawaoi wala kula huko nk nk, kwa nini tena kwenye ufunuo wa Yohana kuna sehemu inasema watakaoingia mbinguni watakula karamu na mwana kondoo, je inawezekanaje mbinguni kula wakati watakuwa Km malaika, kuna kula tena mbinguni?
Swali no 1.

Mbingu zipo ngapi?

Ingia jukwaa la dini Kuna Uzi nimejibu swali Hilo usemao:

" Zifahamu mbingu ya 1hadi ya 3, na layers zake sawasawa na mwanzo 1:1-31"- Rabbon.
 
Salaam, Shalom!!

Akifundisha katika semina jijini Mbeya Jana tarehe 26 January,Mwalimu Christopher Mwakasege amerudia kauli aliyowahi kuitoa kabla.

Amesema, asubuhi, walipokuwa katika bible study ya familia asubuhi ya jumapili hiyo, Mkewe alimuuliza swali kuwa ikitokea ametokewa na YESU atamtambuaje?

Mwalimu Christopher Mwakasege akamjibu Kwa kumkumbusha juu ya siku aliyotoka ndani ya MWILI wake na kwenda Mbinguni, alipofika Mbinguni, alikutana na Nabii Musa yule Nabii wa kale, na alimtambua, akaongeza kusema, Ukiwa katika mwili wa kiroho, huhitaji kutambulishwa sababu Roho inajua yote na kutambua yote yajayo na yaliyokwisha pita.

..... Mwisho wa kunukuu....

Naungana na Mwalimu Christopher Mwakasege juu ya UKWELI wa jambo hili, mbingu IPO na ni halisi, Mimi pia nimewahi kwenda Nchi nzuri sana, mfano wa uzuri wa Nchi Ile hauelezeki, mji huo hakuna jua Wala mwezi, IPO Nuru nzuri sana ambayo macho hayachoki kuitazama,

Nimewahi kuandika pia juu kupewa taarifa juu ya ujio wa Yesu kulinyakua Kanisa Kwa kumwona Yesu akiwa na jeshi la Malaika, amepanda farasi mweupe wakienda Kwa Kasi mawinguni.

Ndipo tujue yafuatayo.

1. Mbingu ni halisi Si hadithi.

2. WATAKATIFU wote wapo Mbinguni, wakifa hawakai kaburini.

3. Mungu yupo na ni MMOJA, na Jina la Mungu huyo mmoja tulilopewa WANADAMU liwezalo kuokoa ni Yesu Kristo/YESHUA HAMASHIACH.

Mungu awabariki.
Huo upumbavu akawadanganye waislamu ....siyo watu wenye akili timamu kama sisi
 
Mkuu Rabbon nina swali,
1. Hivi mbingu zipo gapi?
2. Mtu/ binadamu akifa na kama ameenda mbinguni je huwa wanakuwa mbingu ya gapi?

2. Mtu/binadamu akifa na ikiwa amepata neema ya kuingia mbinguni kabla ya ufufuo je huko mbinguni roho za wanadamu huwa zinapewa mwili tofauti na huu wa duniani au huwa zipo katika mwonekano upi?

3. Yesu Kristo aliwahi kusema, watu watakapofufuliwa wale watakao kuwa mkono wa kuume watakuwa kama malaika, maana malaika hawaoi wala kula huko nk nk, kwa nini tena kwenye ufunuo wa Yohana kuna sehemu inasema watakaoingia mbinguni watakula karamu na mwana kondoo, je inawezekanaje mbinguni kula wakati watakuwa Km malaika, kuna kula tena mbinguni?
Swali no 2.

Zamani kabla ya kufufuka Kwa Yesu, WATAKATIFU walikuwa wakifa wanasubiri Mahali paliitwa Paradiso, Mahali pema peponi,

Baada ya Yesu kufufuka, WATAKATIFU huenda mbingu ya kwanza live, na hawahukumiwi tena, maana hayupo wa kuwahukumu.
 
Mkuu Rabbon nina swali,
1. Hivi mbingu zipo gapi?
2. Mtu/ binadamu akifa na kama ameenda mbinguni je huwa wanakuwa mbingu ya gapi?

2. Mtu/binadamu akifa na ikiwa amepata neema ya kuingia mbinguni kabla ya ufufuo je huko mbinguni roho za wanadamu huwa zinapewa mwili tofauti na huu wa duniani au huwa zipo katika mwonekano upi?

3. Yesu Kristo aliwahi kusema, watu watakapofufuliwa wale watakao kuwa mkono wa kuume watakuwa kama malaika, maana malaika hawaoi wala kula huko nk nk, kwa nini tena kwenye ufunuo wa Yohana kuna sehemu inasema watakaoingia mbinguni watakula karamu na mwana kondoo, je inawezekanaje mbinguni kula wakati watakuwa Km malaika, kuna kula tena mbinguni?
Swali no 3.

Miili ya WATAKATIFU ni kama aliyoonekana nayo Musa na Elia au Ule mwili alipofufuka nao Yesu.

Ni mwili kama kioo, hazuiliki, inapita popote ni mwili wa kiroho.
 
Huyu Mzee nae kwisha kazi yake, naona akiota ndoto tu anajisahau na kuhadithia kuwa ni kweli
 
Mchungaji kafungua jicho la tatu 😂
Jicho la tatu ni jicho chongo, jicho la kichawi.

Mtu ambaye ni Roho, ana macho mawili ya Roho Si Moja.

Ndio maana Huwa mbona maluweluwe mkifungua jicho Hilo la kichawi kupitia meditation.

Macho ya Roho yanafunguliwa Kwa kumpa Yesu maisha Yako, Roho mtakatifu huingia na kuyafungua,utaona yote bila mipaka.
 
Hizi chai za mwili kuachana na roho kwenda mbinguni kukutana na nabii ni za kuamini kweli?
Ila ukichukuliwa kuzimu ukala nyama za watu haitokuwa chai sio!

Kama uliwahi kulala ukaota unakula nyama, pigia mstari.
 
Sijawahi mkuu
Mungu hadhihakiwi,

Kama hujui jambo nililoandika au huliamini Bora kunyamaza,

Lakini kama nisemalo ni Kweli nawe unadhihaki, jua hunidhihaki Mimi, Bali aliyenutuma kuleta ujumbe huu.

Ni Rahisi kushindana na mwanadamu,

Ila kamwe huwezi shindana na Mungu ukashinda,
 
Mzee nimemdhihaki Mungu wapi?

Uzi umeletwa na wewe sio Mungu
 
Salaam, Shalom!!

Akifundisha katika semina jijini Mbeya Jana tarehe 26 January,Mwalimu Christopher Mwakasege amerudia kauli aliyowahi kuitoa kabla.

Amesema, asubuhi, walipokuwa katika bible study ya familia asubuhi ya jumapili hiyo, Mkewe alimuuliza swali kuwa ikitokea ametokewa na YESU atamtambuaje?

Mwalimu Christopher Mwakasege akamjibu Kwa kumkumbusha juu ya siku aliyotoka ndani ya MWILI wake na kwenda Mbinguni, alipofika Mbinguni, alikutana na Nabii Musa yule Nabii wa kale, na alimtambua, akaongeza kusema, Ukiwa katika mwili wa kiroho, huhitaji kutambulishwa sababu Roho inajua yote na kutambua yote yajayo na yaliyokwisha pita.

..... Mwisho wa kunukuu....

Naungana na Mwalimu Christopher Mwakasege juu ya UKWELI wa jambo hili, mbingu IPO na ni halisi, Mimi pia nimewahi kwenda Nchi nzuri sana, mfano wa uzuri wa Nchi Ile hauelezeki, mji huo hakuna jua Wala mwezi, IPO Nuru nzuri sana ambayo macho hayachoki kuitazama,

Nimewahi kuandika pia juu kupewa taarifa juu ya ujio wa Yesu kulinyakua Kanisa Kwa kumwona Yesu akiwa na jeshi la Malaika, amepanda farasi mweupe wakienda Kwa Kasi mawinguni.

Ndipo tujue yafuatayo.

1. Mbingu ni halisi Si hadithi.

2. WATAKATIFU wote wapo Mbinguni, wakifa hawakai kaburini.

3. Mungu yupo na ni MMOJA, na Jina la Mungu huyo mmoja tulilopewa WANADAMU liwezalo kuokoa ni Yesu Kristo/YESHUA HAMASHIACH.

Mungu awabariki.
Kwahiyo huko mbinguni usafiri ni wa farasi tu au kuna usafiri mwingine?
Hao wanakuwa wamezagaa ulitaka kusafiri unapanda farasi yoyote au kila mtu na farasi wake?
Farasi wote wa huko ni weupe au kuna rangi nyingine ie; nyeusi?
Tusiopenda usafiri wa farasi tunaweza kupatiwa aina tofauti ya usafiri huko mbinguni?
Malaika uliwaona na mabawa au wako vipi?(rangi/maumbile/urefu/jinsia).
Huko mbinguni mnatumia lugha gani kuwasiliana? Lugha ya huko mnajifunza au automatically ukifika unakuwa mahiri katika lugha inayotumika huko?
Vipi Buddhists/Hindu/Bohra/Jews nao wanafika na kupokelewa huko mbinguni?
Huko mnawaona new comers wanapowasili kutoka duniani?
Ndugu mkikutana mnakumbukana?
Mkiwa huko Mungu mnamuona na anawaongelesha?
Je kumechangamka au kumepooza?
 
Back
Top Bottom