- Thread starter
- #121
Nitajibu kuhusu lugha,Kwahiyo huko mbinguni usafiri ni wa farasi tu au kuna usafiri mwingine?
Hao wanakuwa wamezagaa ulitaka kusafiri unapanda farasi yoyote au kila mtu na farasi wake?
Farasi wote wa huko ni weupe au kuna rangi nyingine ie; nyeusi?
Tusiopenda usafiri wa farasi tunaweza kupatiwa aina tofauti ya usafiri huko mbinguni?
Malaika uliwaona na mabawa au wako vipi?(rangi/maumbile/urefu/jinsia).
Huko mbinguni mnatumia lugha gani kuwasiliana? Lugha ya huko mnajifunza au automatically ukifika unakuwa mahiri katika lugha inayotumika huko?
Vipi Buddhists/Hindu/Bohra/Jews nao wanafika na kupokelewa huko mbinguni?
Huko mnawaona new comers wanapowasili kutoka duniani?
Ndugu mkikutana mnakumbukana?
Mkiwa huko Mungu mnamuona na anawaongelesha?
Je kumechangamka au kumepooza?
Lugha za duniani ni za huku, Mbinguni kuna lugha yake.
Roho Haina limit katika utambuzi, inajua yote.
Ukienda Mbinguni, hutafundishwa lugha chuoni, utaelewa na kuongea automatically.