Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Aloooooo! Alienda mbinguni aseee!
Hayo bado yanabaki kuwa ni maneno yake na yako, kama zilivyo stori zilizopo
Swali no 1.Mkuu Rabbon nina swali,
1. Hivi mbingu zipo gapi?
2. Mtu/ binadamu akifa na kama ameenda mbinguni je huwa wanakuwa mbingu ya gapi?
2. Mtu/binadamu akifa na ikiwa amepata neema ya kuingia mbinguni kabla ya ufufuo je huko mbinguni roho za wanadamu huwa zinapewa mwili tofauti na huu wa duniani au huwa zipo katika mwonekano upi?
3. Yesu Kristo aliwahi kusema, watu watakapofufuliwa wale watakao kuwa mkono wa kuume watakuwa kama malaika, maana malaika hawaoi wala kula huko nk nk, kwa nini tena kwenye ufunuo wa Yohana kuna sehemu inasema watakaoingia mbinguni watakula karamu na mwana kondoo, je inawezekanaje mbinguni kula wakati watakuwa Km malaika, kuna kula tena mbinguni?
Huo upumbavu akawadanganye waislamu ....siyo watu wenye akili timamu kama sisiSalaam, Shalom!!
Akifundisha katika semina jijini Mbeya Jana tarehe 26 January,Mwalimu Christopher Mwakasege amerudia kauli aliyowahi kuitoa kabla.
Amesema, asubuhi, walipokuwa katika bible study ya familia asubuhi ya jumapili hiyo, Mkewe alimuuliza swali kuwa ikitokea ametokewa na YESU atamtambuaje?
Mwalimu Christopher Mwakasege akamjibu Kwa kumkumbusha juu ya siku aliyotoka ndani ya MWILI wake na kwenda Mbinguni, alipofika Mbinguni, alikutana na Nabii Musa yule Nabii wa kale, na alimtambua, akaongeza kusema, Ukiwa katika mwili wa kiroho, huhitaji kutambulishwa sababu Roho inajua yote na kutambua yote yajayo na yaliyokwisha pita.
..... Mwisho wa kunukuu....
Naungana na Mwalimu Christopher Mwakasege juu ya UKWELI wa jambo hili, mbingu IPO na ni halisi, Mimi pia nimewahi kwenda Nchi nzuri sana, mfano wa uzuri wa Nchi Ile hauelezeki, mji huo hakuna jua Wala mwezi, IPO Nuru nzuri sana ambayo macho hayachoki kuitazama,
Nimewahi kuandika pia juu kupewa taarifa juu ya ujio wa Yesu kulinyakua Kanisa Kwa kumwona Yesu akiwa na jeshi la Malaika, amepanda farasi mweupe wakienda Kwa Kasi mawinguni.
Ndipo tujue yafuatayo.
1. Mbingu ni halisi Si hadithi.
2. WATAKATIFU wote wapo Mbinguni, wakifa hawakai kaburini.
3. Mungu yupo na ni MMOJA, na Jina la Mungu huyo mmoja tulilopewa WANADAMU liwezalo kuokoa ni Yesu Kristo/YESHUA HAMASHIACH.
Mungu awabariki.
Swali no 2.Mkuu Rabbon nina swali,
1. Hivi mbingu zipo gapi?
2. Mtu/ binadamu akifa na kama ameenda mbinguni je huwa wanakuwa mbingu ya gapi?
2. Mtu/binadamu akifa na ikiwa amepata neema ya kuingia mbinguni kabla ya ufufuo je huko mbinguni roho za wanadamu huwa zinapewa mwili tofauti na huu wa duniani au huwa zipo katika mwonekano upi?
3. Yesu Kristo aliwahi kusema, watu watakapofufuliwa wale watakao kuwa mkono wa kuume watakuwa kama malaika, maana malaika hawaoi wala kula huko nk nk, kwa nini tena kwenye ufunuo wa Yohana kuna sehemu inasema watakaoingia mbinguni watakula karamu na mwana kondoo, je inawezekanaje mbinguni kula wakati watakuwa Km malaika, kuna kula tena mbinguni?
Swali no 3.Mkuu Rabbon nina swali,

Hiyo picha uliyoiweka Kwa avatar Yako ndio upumbavu wenyewe.Huo upumbavu akawadanganye waislamu ....siyo watu wenye wkili timamu kama sisi
Joanna ntacheka nipate dhambi ujueπAloooooo! Alienda mbinguni aseee!
Hayo bado yanabaki kuwa ni maneno yake na yako, kama zilivyo stori zilizopo
Jicho la tatu ni jicho chongo, jicho la kichawi.Mchungaji kafungua jicho la tatu π
Joanna ntacheka nipate dhambi ujueπ
Hizi dhambi ni zako, sikutaka kucheka π π πTukutane motoni manake ushacheka π€£
Hizi dhambi ni zako, sikutaka kucheka π π π
Ila ukichukuliwa kuzimu ukala nyama za watu haitokuwa chai sio!Hizi chai za mwili kuachana na roho kwenda mbinguni kukutana na nabii ni za kuamini kweli?
Ila ukichukuliwa kuzimu ukala nyama za watu haitokuwa chai sio!
Kama uliwahi kulala ukaota unakula nyama, pigia mstari.
Mungu hadhihakiwi,Sijawahi mkuu
Mungu hadhihakiwi,
Kama hujui jambo nililoandika au huliamini Bora kunyamaza,
Lakini kama nisemalo ni Kweli nawe unadhihaki, jua hunidhihaki Mimi, Bali aliyenutuma kuleta ujumbe huu.
Ni Rahisi kushindana na mwanadamu,
Ila kamwe huwezi shindana na Mungu ukashinda,
Sawa,Mzee nimemdhihaki Mungu wapi?
Uzi umeletwa na wewe sio Mungu
Kwahiyo huko mbinguni usafiri ni wa farasi tu au kuna usafiri mwingine?Salaam, Shalom!!