Mwl Mwakasege: Niliwahi kutoka nje ya mwili wangu nikaenda Mbinguni na kukutana na Nabii mkubwa, nikamtambua

Mwl Mwakasege: Niliwahi kutoka nje ya mwili wangu nikaenda Mbinguni na kukutana na Nabii mkubwa, nikamtambua

Forget about black blaa zote nilizo ziandika then nijibu sentensi za mwisho kwamba "Mbinguni tuta mkuta Mungu,Yesu na Malaika ? Au tutamkuta Mungu na malaika ?
Ukibahatika kufika Mbinguni,

Utashangaa kumkuta Yesu ndiye amekaa katika KITI Cha enzi.

Na Kwa kuwa Mungu ni MMOJA, ndipo utaungana na waliomsulubisha kulia Kwa huzuni, hawakujua Yesu ndiye Mungu aliyekuja katika mwili wa mwanadamu.
 
Watafutebwatu wa dini na madhehebu,

Mimi ni Roho, namwabudu Mungu katika Roho na Kweli.
Huyo uliye mtaja mwakasege ni mtu wa madhehebu vipi mtu wa roho atukuze watu wa madhehebu
 
Bible ni kitabu kilichoandikwa na watu na chenye mapungufu..!!
Sasa ikiwa huamini BIBLIA umefuata nini kwenye Uzi huu ambao msingi wa yaliyoandikwa katika Uzi huu ni neno la Mungu ?
 
Sasa ikiwa huamini BIBLIA umefuata nini kwenye Uzi huu ambao msingi wa yaliyoandikwa katika Uzi huu ni neno la Mungu ?
Nimekuja kumuuliza mwakasege huko mbinguni kuna umeme au wanatumia mwanga wa jua 😹😹
 
Huyo uliye mtaja mwakasege ni mtu wa madhehebu vipi mtu wa roho atukuze watu wa madhehebu
Mwakasege ni Roho,

Rabbon ni Roho,

Ibada zetu ni KATIKA Roho,

Tumwabuduo Mungu katika Roho na Kweli, hatuna identity ya madhehebu.

Tujadili HOJA Kwa msingi wa neno la Mungu.

Madhehebu watafute watu wa madhehebu.
 
Nimekuja kumuuliza mwakasege huko mbinguni kuna umeme au wanatumia mwanga wa jua 😹😹
Kuna Uzi nimeandika kuhusu mbingu na layers zake.

Mbingu ya kwanza hakuna jua Wala mwezi,

Huko Nuru inayotumika ni Mungu mwenyewe,

Soma maandiko uelewe, hutauliza maswali ya kitoto.
 
Mwakasege ni Roho,

Rabbon ni Roho,

Ibada zetu ni KATIKA Roho,

Tumwabuduo Mungu katika Roho na Kweli, hatuna identity ya madhehebu.

Tujadili HOJA Kwa msingi wa neno la Mungu.

Madhehebu watafute watu wa madhehebu.
Haya wewe na mwakasege mbona mpo tofauti mwakasege naye anasema mungu anazo nafsi 3 wewe unapinga sasa hapo inakuwa vipi
 
Mungu yupo, baadhi wanabisha kuwa hakuna Mungu

Mungu aliumba dunia na vitu vilivyomo kwa kutamka tu nen na vikawa - wanabisha kuwa hilo haliwezekani

Mungu akamuumba mwanadamu kwa mfano wake (Binadamu anafanana na Mungu kimawazo, mazungumzo nk) - wanasema hiyo ni dhahania kwa kuwa hakuna Mungu

Juzi sasa nilitengeneza wimbo kwa kutumia AI, dakika 3 wimbo ukakamilika na kuwa mzuri sana, una mixing na mastering ya hali ya juu sana. Muimbaji ni wa viwango vya kutisha. Na nilichofanya ni kuandika tu nataka wimbo uimbwe na mwanamke na mahadhi ni soul, na vikawa. Sasa imawezekanaje mimi binadamu tu nimetamka na imekuwa, au hao waliotengeneza kodi za AI wametengeneza na vitu vinakuwa tunavyotaka halafu mtu ubishe kuwa dunia isingeweza kuumbwa kwa kutamkwa tu?? Zingatia sisi binadamu ni mfano wa Mungu

Huu wimbo nilioutengeneza kwa AI nauweka hapa, ni tenzi namba 116, Bwana, u sehemu yangu.
 
Attachments

Haya wewe na mwakasege mbona mpo tofauti mwakasege naye anasema mungu anazo nafsi 3 wewe unapinga sasa hapo inakuwa vipi
Jikite kwenye mada,

Habari ya NAFSI nilishaeleza sana humu.

Jaribu kujadili kilicho ndani ya mada.
 
Ukibahatika kufika Mbinguni,

Utashangaa kumkuta Yesu ndiye amekaa katika KITI Cha enzi.

Na Kwa kuwa Mungu ni MMOJA, ndipo utaungana na waliomsulubisha kulia Kwa huzuni, hawakujua Yesu ndiye Mungu aliyekuja katika mwili wa mwanadamu.
"Yesu ndiyo atakuwa amekaa kwenye kiti cha enzi".

Probably una maanisha kuwa mbinguni tutamkuta Yesu na malaika, Mungu hatokuwepo kwa sababu ndiyo huyo yesu analiyekuja duniani kwa mwili.

Brother nikuambie tu umepotoka.

Mungu ambae ni Supreme being na Super natural power yeye ni ana nguvu sana kiasi kwamba haitaji msaada kwa yeyote.

Nanukuu baadhi ya nukuu za kwenye biblia 👇

Kipindi Yesu anakaribia kusulubiwa, pale bustani ya Getithemane alisali sala hii "Ee Baba ikiwezekana kikombe hiki kini epuke,au laa mapenzi yako yatimizwe" haya maombi ya Yesu aliyaomba kuhitaji msaada kwa kiumbe ambae ana nguvu kuliko yeye ambaye ni Mungu.

Sasa kama Yesu alikuwa ndiyo Mungu mwenyewe, hapo bustanini alikuwa anamwomba Mungu yupi ? Au hapa napo imeandikwa kwa mafumbo ?

"Eloi eloi lamasabakthani, yaani Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniacha ? Hapa Yesu alikuwa anamlalamikia Mungu yupi kama yeye alikuwa ndiye Mungu ?

Ebu jibu haya maswali
 
Mungu yupo, baadhi wanabisha kuwa hakuna Mungu

Mungu aliumba dunia na vitu vilivyomo kwa kutamka tu nen na vikawa - wanabisha kuwa hilo haliwezekani

Mungu akamuumba mwanadamu kwa mfano wake (Binadamu anafanana na Mungu kimawazo, mazungumzo nk) - wanasema hiyo ni dhahania kwa kuwa hakuna Mungu

Juzi sasa nilitengeneza wimbo kwa kutumia AI, dakika 3 wimbo ukakamilika na kuwa mzuri sana, una mixing na mastering ya hali ya juu sana. Muimbaji ni wa viwango vya kutisha. Na nilichofanya ni kuandika tu nataka wimbo uimbwe na mwanamke na mahadhi ni soul, na vikawa. Sasa imawezekanaje mimi binadamu tu nimetamka na imekuwa, au hao waliotengeneza kodi za AI wametengeneza na vitu vinakuwa tunavyotaka halafu mtu ubishe kuwa dunia isingeweza kuumbwa kwa kutamkwa tu?? Zingatia sisi binadamu ni mfano wa Mungu

Huu wimbo nilioutengeneza kwa AI nauweka hapa, ni tenzi namba 116, Bwana, u sehemu yangu.
Mods Maxence Melo nisaidieni kufanya huu wimbo uwe katika text na usiwe kama attachment, yaani uweze kuchezwa hapohapo katikati ya coment
 
Eti kwanini Yesu/Mungu na malaika ni Wazungu weupe tu?
 
Ila wakristo akili zao 🙌🙌🙌
Wakristo wanatumia mbinu zote za mudi boy kupotosha na kujitukuza kuwa wao ni mitume wakuu na manabii wakuuu...kama alivyo fanya mudi boy....kichekesho wao na huyo mudi boy wao hata awajui mtume ni nini ‽ ili swali la mtume ni nini au mtume ni nani hakuna mkristo wa madhehebu anayeweza kulijibu...hata waislamu ukiwaambia mtume wao mudi alikuwa ajui utume ni nini utawaona wanakimbia uzi awathubutu kujibu....
 
"Yesu ndiyo atakuwa amekaa kwenye kiti cha enzi".

Probably una maanisha kuwa mbinguni tutamkuta Yesu na malaika, Mungu hatokuwepo kwa sababu ndiyo huyo yesu analiyekuja duniani kwa mwili.

Brother nikuambie tu umepotoka.

Mungu ambae ni Supreme being na Super natural power yeye ni ana nguvu sana kiasi kwamba haitaji msaada kwa yeyote.

Nanukuu baadhi ya nukuu za kwenye biblia 👇

Kipindi Yesu anakaribia kusulubiwa, pale bustani ya Getithemane alisali sala hii "Ee Baba ikiwezekana kikombe hiki kini epuke,au laa mapenzi yako yatimizwe" haya maombi ya Yesu aliyaomba kuhitaji msaada kwa kiumbe ambae ana nguvu kuliko yeye ambaye ni Mungu.

Sasa kama Yesu alikuwa ndiyo Mungu mwenyewe, hapo bustanini alikuwa anamwomba Mungu yupi ? Au hapa napo imeandikwa kwa mafumbo ?

"Eloi eloi lamasabakthani, yaani Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniacha ? Hapa Yesu alikuwa anamlalamikia Mungu yupi kama yeye alikuwa ndiye Mungu ?

Ebu jibu haya maswali
Nimeongelea aketiye katika KITI Cha enzi, wewe unanirudisha msalabani,

Niulize wapi imeandikwa kwamba Yesu ndiye Mungu aketiye katika KITI Cha enzi ningekujibu.

Karibu.
 
Jikite kwenye mada,

Habari ya NAFSI nilishaeleza sana humu.

Jaribu kujadili kilicho ndani ya mada.
Nimeuliza tofauti ya wewe na mwakasege kuhusu nafsi .. sikusema ujaeleza ...wewe unasema hivi mwakasege anasema vile ...(kumbuka imeandikwa ufalme ulio farakana hauta simamq) kama mafundisho au imani zenu zinapingana vipi mnaweza kuwa wote ni sahihi🤣🤣
 
Salaam, Shalom!!

Akifundisha katika semina jijini Mbeya Jana tarehe 26 January,Mwalimu Christopher Mwakasege amerudia kauli aliyowahi kuitoa kabla.

Amesema, asubuhi, walipokuwa katika bible study ya familia asubuhi ya jumapili hiyo, Mkewe alimuuliza swali kuwa ikitokea ametokewa na YESU atamtambuaje?

Mwalimu Christopher Mwakasege akamjibu Kwa kumkumbusha juu ya siku aliyotoka ndani ya MWILI wake na kwenda Mbinguni, alipofika Mbinguni, alikutana na Nabii Musa yule Nabii wa kale, na alimtambua, akaongeza kusema, Ukiwa katika mwili wa kiroho, huhitaji kutambulishwa sababu Roho inajua yote na kutambua yote yajayo na yaliyokwisha pita.

..... Mwisho wa kunukuu....

Naungana na Mwalimu Christopher Mwakasege juu ya UKWELI wa jambo hili, mbingu IPO na ni halisi, Mimi pia nimewahi kwenda Nchi nzuri sana, mfano wa uzuri wa Nchi Ile hauelezeki, mji huo hakuna jua Wala mwezi, IPO Nuru nzuri sana ambayo macho hayachoki kuitazama,

Nimewahi kuandika pia juu kupewa taarifa juu ya ujio wa Yesu kulinyakua Kanisa Kwa kumwona Yesu akiwa na jeshi la Malaika, amepanda farasi mweupe wakienda Kwa Kasi mawinguni.

Ndipo tujue yafuatayo.

1. Mbingu ni halisi Si hadithi.

2. WATAKATIFU wote wapo Mbinguni, wakifa hawakai kaburini.

3. Mungu yupo na ni MMOJA, na Jina la Mungu huyo mmoja tulilopewa WANADAMU liwezalo kuokoa ni Yesu Kristo/YESHUA HAMASHIACH.

Mungu awabariki.
Takataka
 
Back
Top Bottom