Sijui haya yanatoka wapi.Yaani mtu mmoja akitingishika watu milioni 52 wanatingishika? Ni mfumo dhaifu sana.
Si ndio hapo bana.Labda unaupungufu wa media nyumbani kwako kweli hujawahi kumsikia mh rais Magufuli akisema anaomba tumuombee hasa kwakuwa sera zake zinachukiwa na wasiolitakia mema taifa? Rejea phrase yake juu ya Vita ya kiuchumi. Pengine aliforecast shubiri hii ndio maana alisema Mara nyingi mniombee.