Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Katiba mbovu na matokeo yake.Swali la kujiuliza kwa nini mtu mmoja awe na nguvu kubwa namna hii? Yaani mtu mmoja akitingishika watu milioni 52 wanatingishika? Ni mfumo dhaifu sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katiba mbovu na matokeo yake.Swali la kujiuliza kwa nini mtu mmoja awe na nguvu kubwa namna hii? Yaani mtu mmoja akitingishika watu milioni 52 wanatingishika? Ni mfumo dhaifu sana.
Nchi sio mtu ni watu,nchi haiwezi teteleka kwa kuondokewa na mtu mmoja.Nchi ni katiba sio watu.Hakuna atakayetikisika labda wale wanaonufaika na mfuko moja kwa moja
Akina Bashite watateteleka lakini siyo sisiNchi sio mtu ni watu,nchi haiwezi teteleka kwa kuondokewa na mtu mmoja.Nchi ni katiba sio watu.