Mwl. Nyerere: Unaweza kumtingisha Waziri Mkuu nchi isitikisike lakini huwezi kumtingisha Rais

Mwl. Nyerere: Unaweza kumtingisha Waziri Mkuu nchi isitikisike lakini huwezi kumtingisha Rais

Labda unaupungufu wa media nyumbani kwako kweli hujawahi kumsikia mh rais Magufuli akisema anaomba tumuombee hasa kwakuwa sera zake zinachukiwa na wasiolitakia mema taifa? Rejea phrase yake juu ya Vita ya kiuchumi. Pengine aliforecast shubiri hii ndio maana alisema Mara nyingi mniombee.
Yuko wapi kwa sasa kwani?
Mbona hakuna taarifa za kazi zake TBC, channel 10 na Millard Ayo?
 
Alinyofolewa Lowasa na nchi ilienda vema ila Rais wa nchi sio Jambo la kulishabikia kwa pupa habari za vigogo tuzipuuze kwa wakati huu ndugu zangu tuungane tuwe kitu kimoja just imagine Leo spika ndugai kapanda miti kongwa vipi kesho uzushi huu ikionekana sio kweli mtaficha wapi nyuso zenu?
Kwani nani anayemnyofoa Rais?
 
Labda unaupungufu wa media nyumbani kwako kweli hujawahi kumsikia mh rais Magufuli akisema anaomba tumuombee hasa kwakuwa sera zake zinachukiwa na wasiolitakia mema taifa? Rejea phrase yake juu ya Vita ya kiuchumi. Pengine aliforecast shubiri hii ndio maana alisema Mara nyingi mniombee.
Wakina nani wasiolitakia mema taifa hili?. Kauli kama hizo zimetumika kuonea watu awamu hii, zimetumika kupitisha vitu ambavyo vinaumiza watu.
 
Tusilazimishe upendo kwanguvu ama kwamaneno meeengi...ukiwa public figure vyote ni vyako na hutakiwi kupanic! Ukiwa MTU wa watu, msaada kwa wenye shida, ukiwa na kauli nzuri, mpenda maendeleo ya watu, mdemokrasia, msikilizaji mzuri nk. watu walio wengi watakupenda tofauti na hivyo utachukiwa mmmno na utaombewa mabaya
 
Mwl Nyerere alikuwa na busara sana kulipotokea hamkani ya Malechela kutomshauri vema Rais Mwinyi, Nyerere alionya akasema unaweza kumtingisha Waziri mkuu nchi isitikisike lakini huwezi kumtingisha Rais nchi ikaacha kutikisika...
Kiongozi wa kitaifa hutunza kauli zake 'a public figure has to keep his words'
 
Tusilazimishe upendo kwanguvu ama kwamaneno meeengi...ukiwa public figure vyote nivyako na hutakiwi kupanic! Ukiwa MTU wawatu,msaada kwa wenyeshida,ukiwa na kauli nzuri,mpenda maendeleo ya watu,mdemokrasia,msikilizaji mzuri nk. watu waliowengi watakupenda tofauti nahivyo utachukiwa mmmno na utaombewa mabaya
Kiongozi wa kitaifa anatakiwa atunze kauli zake
 
Swali la kujiuliza kwa nini mtu mmoja awe na nguvu kubwa namna hii? Yaani mtu mmoja akitingishika watu milioni 52 wanatingishika? Ni mfumo dhaifu sana.
Sio hivyo mkuu, ukiona hivyo ana thamani kubwa mno kwani huoni hata nchi za nje zinataka kupata kufahamu
 
Balozi huko Namibia, RC wa Mbeya na Waziri Mkuu wamezima makali.

Hakuna mtikisiko wowote uwezao kutokea penye matumaini na imani kwa Mungu.
 
Leo ni siku nyingine njema ya Jumapili, tutakiane ibaada njema kwa wale imani hii. Tujiombee binafsi, taifa letu na ulimwengu kwa ujumla.
 
Swali la kujiuliza kwa nini mtu mmoja awe na nguvu kubwa namna hii? Yaani mtu mmoja akitingishika watu milioni 52 wanatingishika? Ni mfumo dhaifu sana.
Ni Katiba yetu ya Kimwami
 
Mna tuchanganya mjue nyie, mara tusikie mzima wa afya na anapiga kazi zake, mara tusikie yupo Nairobi, mara tusikie yupo Bahari Ya Hindi akieelekea India, mara tusikie amesharudisha "USAJILI WAKE" kwa Sir, mara mtuambie tumuombee dua wakati yeye mwenyewe "HAJATUAMBIA TUMUOMBEE".

Acha tusubiri, akituambia tumuombee basi tutamuombea. Akikausha basi fresh, no sho, fair play, na si tutakausha tu.
Usichanganyike we jua yupo kwani umeona maiti au kaburi lake.?
 
Usilishe watu upepo, magu akipitiliza itayumba familia yako,ya polepole,silinde na crones kama wewe!
Jua litawia na kuchwea kama ilivyoada!
Usituingize kwenye shida zako, we pambana na maruani yako!
 
Labda unaupungufu wa media nyumbani kwako kweli hujawahi kumsikia mh rais Magufuli akisema anaomba tumuombee hasa kwakuwa sera zake zinachukiwa na wasiolitakia mema taifa? Rejea phrase yake juu ya Vita ya kiuchumi. Pengine aliforecast shubiri hii ndio maana alisema Mara nyingi mniombee.
Ni Rais pekee ndo mwenye haki ya kuombewa nchi hii?
 
Back
Top Bottom