Odhiambo cairo JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 15,989 Reaction score 22,078 Mar 17, 2021 #61 Bepari2020 said: Swali la kujiuliza kwa nini mtu mmoja awe na nguvu kubwa namna hii? Yaani mtu mmoja akitingishika watu milioni 52 wanatingishika? Ni mfumo dhaifu sana. Click to expand... Katiba mbovu na matokeo yake.
Bepari2020 said: Swali la kujiuliza kwa nini mtu mmoja awe na nguvu kubwa namna hii? Yaani mtu mmoja akitingishika watu milioni 52 wanatingishika? Ni mfumo dhaifu sana. Click to expand... Katiba mbovu na matokeo yake.
Mangungo II JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 18,133 Reaction score 26,766 Mar 17, 2021 #62 Screen shot ya mwisho ndio tunayopaswa kuizingatia
C Capt Tamar JF-Expert Member Joined Dec 15, 2011 Posts 12,340 Reaction score 16,383 Mar 17, 2021 #63 Iam a bumblebee,iam bumbled enough,but ill be better without him i know!! Si aende?
K kalonji JF-Expert Member Joined Feb 17, 2021 Posts 6,300 Reaction score 8,152 Mar 17, 2021 #64 Babati said: Hakuna atakayetikisika labda wale wanaonufaika na mfuko moja kwa moja Click to expand... Nchi sio mtu ni watu,nchi haiwezi teteleka kwa kuondokewa na mtu mmoja.Nchi ni katiba sio watu.
Babati said: Hakuna atakayetikisika labda wale wanaonufaika na mfuko moja kwa moja Click to expand... Nchi sio mtu ni watu,nchi haiwezi teteleka kwa kuondokewa na mtu mmoja.Nchi ni katiba sio watu.
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Mar 17, 2021 #65 kalonji said: Nchi sio mtu ni watu,nchi haiwezi teteleka kwa kuondokewa na mtu mmoja.Nchi ni katiba sio watu. Click to expand... Akina Bashite watateteleka lakini siyo sisi
kalonji said: Nchi sio mtu ni watu,nchi haiwezi teteleka kwa kuondokewa na mtu mmoja.Nchi ni katiba sio watu. Click to expand... Akina Bashite watateteleka lakini siyo sisi