900 itapendeza
Senior Member
- Nov 17, 2017
- 114
- 104
Duuuuuuuuh taifalimepoteza mtu muhimu sana
Kurasini imeniathiri sana.. yaani nashindwa kusikiliza kwaya zingine. Utotoni mwangu nilikuwa nasikiliza zaidi Burka ila huku ukubwani nilipoanza kusikiliza Kurasini, Burka ikabaki historiaMno!...niliwahi kuwa mwimba Kwaya enzi hizo!..ontop of that my fav choir is Kurasini!