900 itapendeza Senior Member Joined Nov 17, 2017 Posts 114 Reaction score 104 Jul 3, 2020 #101 Duuuuuuuuh taifalimepoteza mtu muhimu sana
MamaSamia2025 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 21,387 Reaction score 44,030 Sep 27, 2026 #102 Wangari Maathai said: Mno!...niliwahi kuwa mwimba Kwaya enzi hizo!..ontop of that my fav choir is Kurasini! Click to expand... Kurasini imeniathiri sana.. yaani nashindwa kusikiliza kwaya zingine. Utotoni mwangu nilikuwa nasikiliza zaidi Burka ila huku ukubwani nilipoanza kusikiliza Kurasini, Burka ikabaki historia
Wangari Maathai said: Mno!...niliwahi kuwa mwimba Kwaya enzi hizo!..ontop of that my fav choir is Kurasini! Click to expand... Kurasini imeniathiri sana.. yaani nashindwa kusikiliza kwaya zingine. Utotoni mwangu nilikuwa nasikiliza zaidi Burka ila huku ukubwani nilipoanza kusikiliza Kurasini, Burka ikabaki historia