Mwonekano wa Counter yangu

Mwonekano wa Counter yangu

23b35a090bf140ef766c5f24a83e7f44.jpg

Hii imekaa poa..
 
Wageni wangu wasijue hili chimbo.. Maana watagombania io seat apo 😂kila mtu atataka akae karibu
Inapaswa unaiweka kwenye chumba maalumu kingine cha kupumzika na maongezi, ukiweka sebuleni hadi watoto watalewa... hahah
 
Back
Top Bottom