Wengine na kina nani Mkuu.. Peke yako ndy msindikizaji???Nimeamini kuna watu wanakula mema ya nchi,wengine tunasindikiza tu
Mkuu mkuu unataka kunitunika ajira ubalozini?π€£Unahitajika Ubalozi wa USA haraka.! πππ€£
Wala Jogoo Au HighlifeWala burudani π
Nimeangalia vizuri kumbe ni trumpπView attachment 3220125lete ya baridi tushushie na hii
SawaWengine na kina nani Mkuu.. Peke yako ndy msindikizaji???
Thought the sameπNimi nikafikiri ni Trump, boss kubwa
Wageni wangu wasijue hili chimbo.. Maana watagombania io seat apo πkila mtu atataka akae karibu
Hii imekaa poa..
Siku ukileta diamond unishtue mkuu..Huku hakuna kitoko au visungura
Inapaswa unaiweka kwenye chumba maalumu kingine cha kupumzika na maongezi, ukiweka sebuleni hadi watoto watalewa... hahahWageni wangu wasijue hili chimbo.. Maana watagombania io seat apo πkila mtu atataka akae karibu