Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Muulize Lissu na Lema!Gharama katika nchi zingine zikoje?
Hamna atakae sikia wala kuchukua hatua ulichoandika hapa,ni kukubali tu ndo mwendo.Duu!! Aisee!!! hivi kama kupima covid 19 ndy dola 100 $ hivi hiyo chanjo ikija si ndy tutachanja kwa dola 1000 $ kabisa?...
Nilidhani hatutakiwi kutumia dola ya Marekani kwa huduma za ndani ya nchi? Kuna shida gani kusema gharama ni TShs 250,000 kwa kila msafiri?
Amandla...
Pia tz hakuna korona tunapima ili iweje?Nilidhani hatutakiwi kutumia dola ya Marekani kwa huduma za ndani ya nchi? Kuna shida gani kusema gharama ni TShs 250,000 kwa kila msafiri?
Amandla...
Wewe unajiona hodari kupost upuuzi huu? Hivi akili za kitumwa zitatuisha lini? Unadhalilishwa nawe unashangilia, eti kwa sababu aliyekudhalilisha ni mzungu? Umenisikitisha sana!Why tupime corona Hali haipo maombi yamefanya yake
Mathias kipara utateuliwa kuwa first lady.Muulize Lissu na Lema!
It is free all over the world. Hakuna kokote wanakotoza fedha yoyote duniani kupima. Uki transit pengine Europe, unapima bure kuendelea na safariGharama katika nchi zingine zikoje?
Hivi mtu akikuambia umekalia dhahabu lakini umasikini hapo tusi lipo wapiWewe unajiona hodari kupost upuuzi huu? Hivi akili za kitumwa zitatuisha lini? Unadhalilishwa nawe unashangilia, eti kwa sababu aliyekudhalilisha ni mzungu? Umenisikitisha sana!