My confession: Hornet is Positive

Status
Not open for further replies.
Komredi....

Huyu mchuchu kasema yuko positive.

Ila hajasema ni ‘positive’ kwa lipi!

Au labda mimi ndo sijaona alipotaja ni positive kuhusu nini?
 
[emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji2827][emoji2827][emoji2827]Are you serious!?
 
Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza
 
Usiogope tena .... kuna Dr. mmoja kule instagram.... kwanza
UKIMWI wa sasa ni tofauti na ule wa 1995-2015
Zama zile ilikuwa UKIMWI wa kiume


Allaj atunusuru
 
Ondoa shaka, binadamu wote ni wagonjwa; malaria,mafua, kikohozi, kansa, mapafu,sukari,moyo n.k kwa kufuata taratibu za kiafya na lishe bora zitakufanya ufike miaka 80
 
Dah....mbinu mpya hiii...dah [emoji2960]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: Luv
Kwa nini zicrash?
Una damu ya kutu au?
Pata basi uje utangaze tuone kama zitacrash.
Huyo mwanaCCM ,mademu wa humu walimvuliaga chupi sana kipindi fulani ivi

Sasa Tangia hapo, akawa Jeuri ...

Hapo anaamanisha ivi, kagonga wengi, nao wameenda wamegongana wengine wakagonga wengine walogongwa pia.

Sasa anahisi katakua ni kamsururu.[emoji23]
 
Wewe umepima au una kishujaa kama wangu. Mi kupima labda greda la Manispaa lije linizoe linipeleke kea mpimaji. Na mpimaji awe amekamata AK47 mtutu kauelekeza kwenye medula oblangata... Afu chupa kubwa ya K Vant iwe inaniangalia kwa huzuni...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…