Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Komredi....Dah we mrembo mjanja sana. Unanifukuza kijanja sio? Mi siogopi wala nini, mtongozo uko palepale.
HIV sio ugonjwa
HIV sio kifo
HIV ni virusi vinavyosababisha upungufu wa kinga mwilini. Usiingiwe na hofu ukikutwa HIV+
Ishi kwa matumaini... kula vizuri, pumzika vya kutosha, mazoezi ya wastani, fuata ushauriwa wataalam wa afya.. Hakika utaushuhudia uzee wako ukiwa na afya yako njema kabisa
Tuko pamoja mrembo wangu,hakuna unyanyapaa wala nini.
Huyu mchuchu kasema yuko positive.
Ila hajasema ni ‘positive’ kwa lipi!
Au labda mimi ndo sijaona alipotaja ni positive kuhusu nini?