My confession: Hornet is Positive

Status
Not open for further replies.
Ngaaabuuu!! Ila madem bwana ovyo kabisa huwa wanashoboka na vitu vya ajabu sana, ukute hanaga hata hayo maajab wanayodhani anayo.
Sasa mimi niwe na maajabu gani?

Nina ngozi yenye miiba?

Tumia tu ID ya zamani kama una hamu ya kunitukana.
 
Hornet kwa kiswahili ni HONI ni ishara ya tahadhari why ulijiachia ukahisi utakuwa safe my dear kumbuka plz trust no body halaf wengi humu wamakomaa na HIV hawaulizi maybe ulimevaa gono ambalo sio ishu kivile......
Be Strong
 
Hongera kwa kujitambua, na kuishi positively

Mungu akubariki Sana

Utakua mshauri mzuri Sana kwa watu wengi
 
Aisee, pole sana Hornet .

Jambo ulilolifanya hapa ni la kijasiri na la kipekee.

Kila la kheri, endelea kupambana na shughuli za kila siku kama ulivyokua ukifanya.Usikate tamaa.
 
Be strong hornet na upime hospital tofauf ili u confirm vipimo vya bongo c unavjua..
 
Ila kiukwel watu weng hawatumii ndomu..amin hilo...mim huu ni mwaka wa 3 si.tomb bila ndom na niko makin sana

Sili de.nda kijinga..nahakikisha sjajichubua na mswak...

Nikishave sit.ombi had zipite siku 4 maana najua ukishave lazima ujikate kdgo hata kama hutoona

Kiufupi mim nina Phd ya kutumia ndomu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…