Narudia kukuambia tena, Maisha yetu na namna ya ubebaji wa matatizo ya watu na mapokeo yetu ni tofauti sana.
Ktk zile nyakati, Yeye kua na mume, na bado anapata hamu ya kufanya, kwangu mimi njia ya kumsaidia haraka ilikua nikama nilivofanya.
Pamoja na michango mengine ya watu, niwazi kua aliondoka na kitu.
Uzi ule ulikaa sijui jukwaa la chitchat sikumbuki vzur, na hivo hata niliyoyaandika niliandika kwa kuzingatia kua ni suala dogo kabisa ambalo kwa MTU MZIMA SIFA PEKEE ALONAYO NI KUONGOZA MWILI WAKE ..hivo sikua nashaka, na niliamin kwa maneno yake, Hatoweza tamani tena kuchepuka.
Suala la Ushauri kulingana na Taaluma yangu Sikulipa nafasi.
Sasa turudi, imetokea tufanye nn???...
LAZIMA KUMPENDA MTU HATA KATIKA WAKATI AMBAO YEYE MWENYEWE ANAJITAHIDI SANA KUJIPENDA .
huu sio wakat wa kumrudisha Hornet ktk Kumbukumbu ambazo mwisho wake ni kumuingiza katika majonzi.
Kwanini uliangalia upande wa kucheat pekee?
Lengo la uzi alileta kama tatizo kwake na anshitaji msaada aachane na hali hiyo.
Kinyume chake uliishia kumkejeli.
Kwanini hukuona kuwa anahitaji msaada?
Je hujui hili tatizo alilolipata chanzo kikuu ni tatizo?
Kwasasa unajifanya mshauri lakini haisaidii japo ulipata fursa ya kumsaidia...tena ni sehemu ya taaluma yako.
Maneno mengi hayawezi kubadili ukweli kuwa wabongo wanejaa unafiki mkubwa