KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,159
- 5,070
Inasikitisha sana. Lakini kule kudharau kwake na kutamba kwa utajiri wake wa fedha, magari n.k. kunatia doa maisha anayoyaishi. Kwa hali hii ni bora kuishi ukiwa maskini kuliko kufanyiwa u-Piddy.Mtoto wa tandale Sasa Ni wakati wake na yeye aongee kitu