Sawa ndio hupendi ila si ujibu swali sasa!Kunijia na matipo ndo michezo siipendi.
Kama umemuelewa babu mpelekee acha kujizungusha..!!
Kwanini ukiona mikeka ya 'babu' inaelekea kutiki unachafukwa nafsi?☺️
Sawa ndio hupendi ila si ujibu swali sasa!Kunijia na matipo ndo michezo siipendi.
Kama umemuelewa babu mpelekee acha kujizungusha..!!
Haha.......nimekumbuka enzi zile mnaniletea zawadi Kila mkija na mwenzio kutusalimia na Bibi yenu 🤗Ila babu umewaza nini leo? 😹😹
Subiri nakuletea mjukuu wa kukupa ng’ombe na bibi vitenge…!!
Njoo na id yako iliyotick huo mkeka ili nikupe location ukasuguliwe. Easy tu wala usimalize miti.. 😹😹Sawa ndio hupendi ila si ujibu swali sasa!
Kwanini ukiona mikeka ya 'babu' inaelekea kutiki unachafukwa nafsi?☺️
Andaa zizi ng’ombe unao.Haha.......nimekumbuka enzi zile mnaniletea zawadi Kila mkija na mwenzio kutusalimia na Bibi yenu 🤗
Hapo kwenye ng'ombe umejua kunipatia Babu yako, naandaa zizi kabisa ili nijiandae kuanza kukamua maziwa 🤭
Mtu anazidi kuchafukwa huku 😇Njoo na id yako iliyotick huo mkeka ili nikupe location ukasuguliwe. Easy tu wala usimalize miti.. 😹😹
Wewe unamtaka babu afu unajishtukia hujiamini na mpapa wako? 😹
Nililea mwanangu kwa miaka miwili baadae nikagundua kumbe mama yake mimba ya mtoto alimwambia kijana mmoja mdogo kwamba ni yake!!na dogo akashindwa kuvumilia akaisambaza kitaa!!NILINUKA NIKANUKIA!!Smart911 weye hauna ushuhuda tuendelee kujifunza???
That's great. Inapendeza sanaHapana nipo clean...
naendelea kulea coz dogo hajafanana na huyo dogo!japo nimejua ililiwa nikaongeza mke wa pili na yeye akasepa baada ya kuona kwamba namdhalilisha!
Jambo la kushea Wanaume wengi hatuwezagi kuvumilia sijui kwanininaendelea kulea coz dogo hajafanana na huyo dogo!japo nimejua ililiwa nikaongeza mke wa pili na yeye akasepa baada ya kuona kwamba namdhalilisha!
Hapana babu sijawahi . Niko makini sana kwenye kucheza kwa stepUmewahi kumsingizia mtu jambo la hivi Mjukuu?
Vita yake huwa ni kubwa sana tukijua, hata kama umejengewa nyumba imefika kwenye linta, unaweza kukodisha greda likaibomoe usiku wa manane 🏃🏃
Kabiiiiiiiiisa babu!Hayo mambo hayana mwongozo 😅