Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Mnavuna watoto sio🤣Hata uwepo wa hili jukwaa hajui, muda mwingi tupo zetu shambani tu 🤪
Mnavuna watoto sio🤣Hata uwepo wa hili jukwaa hajui, muda mwingi tupo zetu shambani tu 🤪
Sawa babuTupo zetu busy na kilimo cha Tumbaku
Huko mjini kwenyewe kuonekana ni hadi Christmas 🙌
Wamekusikia🤣Sio kwa umri huu Mjukuu 😅
😂😂😂😂😂Mbona unaongea kama una uhakika Mjukuu
Masuria na Umri huu Babu yenu naanzia wapi?
Kumbuka Babu yenu nina ugonjwa wa Presha ujue 😎
Bora umenitoa wasiwasi Babu yako, nikawa najiuliza hayo mambo ya mwaka 47 Mjukuu umejuaje 🤪😂😂😂😂😂
Ila Gran pah una heka heka ujue?? Sasa mie au uzi nimekuta hizo shengeshaaa?
Jamaniiiiii. Lol
Wachaaaa Wee!! afu Likizo gani tenaa??Bora umenitoa wasiwasi Babu yako, nikawa najiuliza hayo mambo ya mwaka 47 Mjukuu umejuaje 🤪
Fanya mpango likizo ijayo uje kunitembelea Babu yako
Mimi na Bibi yako tumekukumbuka sana 🤗
Tuje tutenge siku wajukuu tuje kukutembelea maana sio kwa kupenda kutembelewa huku🤣🤣Asante Mjukuu, usisahau kupita kutusalimia Mimi na Bibi yako 🤗
Wachaaa wee, ila nini au bas.Kumbe uko free, haya jiandae uje kututembelea mwezi ujao
Mimi na Bibi yako tunakusubiri kwa hamu 🤗
Halafu babu acha uongo wewe yule bibi uliyemtumia ticket ya flight mwaka juzi mkakutana dom hujampata humu??Nina miaka mingi hapa JF, lakini sijawahi kubahatisha hata mmoja
Kila nikitupia ndoano, wananichomolea eti nimezeeka sana 🙌
Labda unipigie pande Mjukuu 🤗
Alafu hiyo kauli ya uwepo wa Bibi yenu hapa, kidogo inipandishe Presha maana najua timbwili lake akiamua 😅
Leo nipo shambani na sijatembea na dawa zangu za PreshaHalafu babu acha uongo wewe yule bibi uliyemtumia ticket ya flight mwaka juzi mkakutana dom hujampata humu??
Na yule mwenye shape lake vipi 😹😹😹
Weeh endelea katakana kina bibi niwaanike hapa upate kesi ya kujibu maana hawajuani. Shauriloo 🏃♀️➡️🏃♀️➡️
Basi babu nimeacha.Leo nipo shambani na sijatembea na dawa zangu za Presha
Nionee huruma Babu yako, Mimi na akina Bibi wapi na wapi 🤭
Wewe nyoko mimi sio suria la babu, mimi dalali wake.Sasa kwanini mojawapo la suria 'bibi' anajidai kumpigia mapande 'babu' kwa masuria mengine halafu akiona mkeka unaelekea kutiki anachafukwa nafsi?🤗
😹😹😹 Nyie siwaaminiHuyo mpuuzi nishaMuIgnore
Mahi na shem mko sawa sasa hivi?Wake zenu wapole sana ndo maana mnamwaga ndani
Unajua hata nikipata mtoto nitampelekea tu
Mi niko radhi ni adopt mayatima kituo kizima
Ila silei goli lake
Na anajua hilo
Kwa hiyo atafute inayonfaa akienda nje
Ni either rough rider au durex
Na atafute nzuri tu inayomfaa
Imagne watu watano kwa mwanamke mmoja
Na shukuru tu ni Mimba
ungemletea mwenzako ukimwi.... jamani