My Confession: Nilivyohudumia Mimba iliyokuwa na Baba 5 pasipo Kujuana

My Confession: Nilivyohudumia Mimba iliyokuwa na Baba 5 pasipo Kujuana

Nilijua tyuu huu uzi lazima Masuria yatapararakana
😂😂😂😂😂😂 haiishagi hadi iishe, Lol
Sasa kwanini mojawapo la suria 'bibi' anajidai kumpigia mapande 'babu' kwa masuria mengine halafu akiona mkeka unaelekea kutiki anachafukwa nafsi?🤗
 
Sasa kwanini mojawapo la suria 'bibi' anajidai kumpigia mapande 'babu' kwa masuria mengine halafu akiona mkeka unaelekea kutiki anachafukwa nafsi?🤗
Yapiii hayooo!!!?? JF hii kaa kimastaa,
Sipoo hukooo!! 😂😂😂😂😂😂
 
Kama unataka kufanya DNA, chukua sampuli za mtoto iwe nywele ama hata jasho la nguo zake then nenda ukapime nje ya Nchi

Kama utapima Tanzania, huwezi kupata matokeo sahihi
Nchi gani nzuri kwenye vipimo vya DNA
 
Wakati mwingine sio rahisi kujitoa kwenye mtego wa hivyo.

Manake hata wale wengine wanne sijui kama walifanikiwa kujijua

Unakuta unaombwa hela ya Kodi, kumbe hiyo meseji inatumwa kwa Wanaume wengine wanne kwa pamoja

Ama unaambiwa mtoto anaumwa, naomba hela nimpeleke hospitali

Unakuta meseji ya hivyo, inatumwa kwa wenzako wengine sita 🙌
Ndo michezo iyo wanaforwad sms tu 😅😅
 
wazee wenyewe ndo nyie mloenda kukutana na sa100 mwezi jana eeeh,, acha tuwapandishe presha mpka mkome😅😅😅,,
alf huu uzi sio kwanza kuona unajiita babu wakati ni kijana m bichi mweee🙌
Uzee dawa, tuliombwa tukasaidie kumshauri mwenye Nchi hiyo mwezi Jana 🤪

Kijana Mbichi wapi, Babu yenu nimekula chumvi nyingi ujue 🤗
 
Back
Top Bottom