Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Ngoja waje wanaokujua vyema sasa, wengine tunapita tu😂🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️Sasampa zitatoka ila kwa sharti la kuzifata
Bila kujiongeza na hili baridi mbona nitakufa Babu yenu
Ngoja waje wanaokujua vyema sasa, wengine tunapita tu😂🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️Sasampa zitatoka ila kwa sharti la kuzifata
Bila kujiongeza na hili baridi mbona nitakufa Babu yenu
Uzinzi na wewe ni hivi 🤝🏽Wasiwasi wako tu 🤗
Hiyo kauli mguu begani mbona inataka kuamsha vilivyolala
Kama Kuna mtu anashinda jukwaani asiwe hata na kikombe cha kahawa, mbona atakuwa anajitesaHebu punguza kuchati ukalee wazee wenzio huko wasije fia jukwaani😂💔
Endelea kuwasubiri mna match ya week nzima😆Kama Kuna mtu anashinda jukwaani asiwe hata na kikombe cha kahawa, mbona atakuwa anajitesa
Mwenzao nimeshaletewa lunch bag kitambo nashushia na juice ya tende
Si nimeambiwa jioni Kuna jambo letu
Waongo hawataki wapi buanaa 😹😹Hahaha......mwambie huu ni utani wa Babu na Wajukuu zake tu
Kwanza wajukuu wenyewe wananigwaya, eti hawataki Mzee wa sekunde 20 🤗
Wewe muongooo 😹😹😹Sihitaji hata kumuona aisee😂 watu tunajifurahisha zetu na hatuna hiyo mipango ya kuonana na watu wa mitandaoni mabibi wanakuwa serious sana nyooh!!
Uongo wangu nini hapo bidada😂Wewe muongooo 😹😹😹
Halafu acha kunirudisha nishaambiwa niondoke hapa..!!
We mbona sitaki nataka?Uongo wangu nini hapo bidada😂
Akhaa mambo ya kuonana na watu kisa wana mafurushi tumewaachia nyie😆
Mwambie aje akuondoe sasa why hajiamini mwee🤣💔
Mwanzoni nilijua utani kumbe wenzetu mpo serious lol😂😂We mbona sitaki nataka?
Babu humtaki huku unamtaka ugomvi bibi?
Hebu funguka msichana basi 😹😹😹
Yeye bibi anatoa order level zake sio za kupayuka hapa..!!
Utolewe wapi wakati ushajiingiza? 😹😹😹Mwanzoni nilijua utani kumbe wenzetu mpo serious lol😂😂
Mi mnitoe kwenye huo upumbavu aisee, hana hizo mbavu za kugombana namm nyoo! Eti levels sasa jf anafanyann kama ana levels zake! Acha sie tusio na leveks tupayuke hahahaa
Ni story ndefu sana mkuuPole sana Mkuu, what happened
Usipojikwaa kwenye haya matukio katika ujana wako, jiandae katika Uzee wako
We sema tu maana uko serious sana na jukwaa🤣🤣Utolewe wapi wakati ushajiingiza? 😹😹😹
Relaaaaaxxx usipandishe sugar, bibi hawezi kugombana na wewe..!!
Bibi mzungu, em niache kwanza nitasema visivyotakiwa kusemwa..!! 🏃♀️➡️🏃♀️➡️🏃♀️➡️
Duhh pole sana aisee💔Ni story ndefu sana mkuu
tofauti mimi alikuwa mchumba kabisa kwao natumbilika na kwetu anatambulika..
ile mimba yake ilinitesa kuanzia mwanzo mpaka anaenda kujifungua..
Alienda kujifungulia mkoani kwa ma mkwe mimi nilikuwa dar
Chata likatoka sio langu akagoma kurudi dar..
Nikawa natuma hela kwa mtoto mpk miezi 9 mtoto akafariki
Msala ukaanzia hapo baba halisi anataka mwanae azwike kwa imani ya kiislam..mtiti ukaanza..
Nimechoka kuandika mkuu..
Niseme ili upate ABC za kuanzia?We sema tu maana uko serious sana na jukwaa🤣🤣
Kwakweli wenye wapenzi wenu humu mtakoma aisee! sukari zitapanda sana maana wengine tunapoteza muda tu!
Kwani we unanijua nikoje? Unaongea kama Unanijua vile, Kwakweli nilijua utani, aisee mambo ni mengi😂Niseme ili upate ABC za kuanzia?
Naijua hiyo 😹😹😹
Hakuna wa kumpandisha sukari au wewe unahisi kuna mtu unaweza kumpandisha sukari?? 😹😹😹
Em seran relaaaxx acha kupoteza energy, halafu mimi nilikua nampa ujumbe babu nikashangaa umedandia…!! Hapo sijakuelewa wakati hukutajwa 🤔
JF ni kichaka hiki 😹😹😹Kwani we unanijua nikoje? Unaongea kama Unanijua vile, Kwakweli nilijua utani, aisee mambo ni mengi😂
Haya nimewapisha na babu akeee😂😂😂💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽
Duhh kiukweli nilijua utani! Sijawahi kuwaza kuna mambo serious kiasi cha kurusha madongo mweeee😂😂 Unaexpect kabisa niandike kitu changu kwa comments😂 huyo bibi ni wewe usinichoshe! Nimepokea asante yako na hakuna kinachoniuma na sijui mtu! Niumie mtu simjui hii si bangi kbs🤦🏽♀️JF ni kichaka hiki 😹😹😹
Aisee nakujua ni id tu umebadilisha
Bibi kasema eti nikupe pole kwa kuchanwa 🏃♀️➡️🏃♀️➡️🏃♀️➡️
Ni utani wala usimind ila nimeshangaa ujumbe wa bibi kwa babu ulivyokuuma..!!😜
Mimi mjukuu wa babu mabibi wote nawapokea sina baya, wee si umesema weekend unaenda? Haina shida bibi mdogo booking yako iko pale pale okay? 😹😹😹
Sasa mbona unaanza kumind utani? 😹😹Duhh kiukweli nilijua utani! Sijawahi kuwaza kuna mambo serious kiasi cha kurusha madongo mweeee😂😂 Unaexpect kabisa niandike kitu changu kwa comments😂 huyo bibi ni wewe usinichoshe! Nimepokea asante yako na hakuna kinachoniuma na sijui mtu! Niumie mtu simjui hii si bangi kbs🤦🏽♀️
And btw! Huyo mtu ambaye huwa unamhisi ni mm sio! Na ata yeye anajua unahisi mimi ndio yeye na anaona! Sio mimi sina muda wa kubadili id kwa ujinga wa jf😂🤝🏽
Kwamba ni siri yaliyomo humu?Sasa mbona unaanza kumind utani? 😹😹
Si tumekubaliana utani..!!
Babu gram sio bwanangu watakucheka watu…!! 😹
Ni wewe hii id yako nyingine..!! 😹
JF ina ujinga gani? Wewe si mgeni lakini?
Umejuaje km kuna ujinga??