Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Wee! Naijua hiyo😂Mimi naweza, yaani kidogo tu 🤪
Wee! Naijua hiyo😂Mimi naweza, yaani kidogo tu 🤪
Nipo njiani🏃🏽♀️🏃🏽♀️Mgahawa wa Waturuki
Sasa hapo unapata raha gani sek20 si bora uache tu😂😅😅
Kuwa na huruma na Wazee, kwanza sisi ni wa sekunde 20 tu
Hatujui kukamia wala
Kama hatukuweza kutafuta hela tukiwa kwenye 28 hadi 45 ndiyo tuanze katika umri huu wa 60+Content creation zimeanza sasa, Bil 2 lazima zitumike ipasavyoo.
Nweiii Uzi mzuri sana. Tchaos!!
Kuna bibi kanipiga biti nitoke kwenye huu uzi eti “Nakuona unavyomgawa babu yako, ondoka kwenye huo uzi haraka” 😹😹😹Wenzie tumefikia level ya kumkatia tiketi ya ndege ya go and return
Ashindwe yeye tu hiyo kazi ya kuja kuifinyia
Ana wasiwasi bure tu hakuna mtu anambebea kibabu chake woii😂😂Kuna bibi kanipiga biti nitoke kwenye huu uzi eti “Nakuona unavyomgawa babu yako, ondoka kwenye huo uzi haraka” 😹😹😹
Sema mwanangu sana acha nimkubalie..!!
We mzee huogopi?? Mabibi zako wanakuchora tu hapa kama wafe! Hebu tulia huko na habari zako za kufinyiwa ndani, hujapokea onyo tu😂😂😂Hivyo hivyo tu inatosha, muhimu uikalie on top tuone malingo yako mbaka chini🤗
Hahaha......mwambie huu ni utani wa Babu na Wajukuu zake tuKuna bibi kanipiga biti nitoke kwenye huu uzi eti “Nakuona unavyomgawa babu yako, ondoka kwenye huo uzi haraka” 😹😹😹
Sema mwanangu sana acha nimkubalie..!!
Hebu punguza kuchati ukalee wazee wenzio huko wasije fia jukwaani😂💔Hahaha......mwambie huu ni utani wa Babu na Wajukuu zake tu
Kwanza wajukuu wenyewe wananigwaya, eti hawataki Mzee wa sekunde 20 🤗
Watoke wapi hao akina Bibi, Babu yenu niliachwa kitamboWe mzee huogopi?? Mabibi zako wanakuchora tu hapa kama wafe! Hebu tulia huko na habari zako za kufinyiwa ndani, hujapokea onyo tu😂😂😂
Wanakujazia points hataree.. pokea maua yako mzee ukajazilishie watu sasampa huko😅Hizi pasi za leo, nishindwe Mimi tu 🤗
Kusema hujaona onyo kali we kizee😂😅😅 Wanajua huu ni utani wa Babu na Wajukuu