Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Kuna hawa vibaka wanatafutwa kama pesa ila ndio kwanza wapo low key😂😂😂😂Injinia, dokta au boss...hakuna mambo mengi!!
Kuna hawa vibaka wanatafutwa kama pesa ila ndio kwanza wapo low key😂😂😂😂Injinia, dokta au boss...hakuna mambo mengi!!
wewe ndo mke wake (anayemwita bibi) au chawa wa mleta chaiView attachment 3546492
Mi mjumbe tu🏃🏽♀️
Lamomy ndo chawa wako anajua kukupakulia minyama hatariHii pasi unayonipigia, siwezi kuacha kufunga 😅
Mi ni personal assistant tu mkuuwewe ndo mke wake (anayemwita bibi) au chawa wa mleta chai
Lengo la mtoa mada ni kufikisha ujumbe, sasa ni jitihada za wasiofikwa na haya matukio kuchukua tahadhalistory ni ya kweli kwenye jamii inatikea, ila mazingira na mhusika siyo wewe
Hahaha we subiri 3some na kina lamo huko mi sitaweza kwanza uroto umeisha hata kunyanyua ugoko siwezi😂Ngozi tena, kuwa na huruma na Wazee 🤗
Nipo nimefanya booking ya hotel ujue, Ile ofa siwezi kuiacha 🤪
Rika la baba yako kabisa, sema ukinitengea nakula kabla hata sijanawa🤣62 unaandika hivi? Hebu acha utani basi matokeo yake hapa nikute nachat na mzee wangu ntajinyonga live😂💔🏃🏽♀️
ahaaa sawa, wewe ndo unahakikisha kila mteja anainywa hiyo chai na kushiba barabaraMi ni personal assistant tu mkuu
Si ndio!!ahaaa sawa, wewe ndo unahakikisha kila mteja anainywa hiyo chai na kushiba barabara
Uweeh tukutane gesti nakutana na mshua unataka tuzike kesho😂Rika la baba yako kabisa, sema ukinitengea nakula kabla hata sijanawa🤣
We unataka unipoteze km bidada?Kwa kweli natafuta zawadi kwaajili yake, hasa Ile 3some ikitiki
Fanya kweli basi Mjukuu, weekend ni kesho ujue 🤗
Then, let's dance to the floor
Perhaps you have got story to tell
As Man, you might have have a fall of this nature in past
Muhimu nisiwe baba mzazi, hayo mengine yanazungumzikaUweeh tukutane gesti nakutana na mshua unataka tuzike kesho😂
Kuna watu wana roho ngumu! Ukachague kubeba mimba ya mvuta bangi mwenye buku buku zake mjini ,kisha ubebeshe wengine majukumu ya kulea!Babu Grahams umenikumbusha dada mmoja nilikutana nae hospital aliuguliwa na wanae(mapacha) alikuwa wodi ya wenye bima, ila kwa zile siku chache nilizokuwa pale walikuja wanaume 4 kuona mapacha, mmojawapo aliwakatia hadi hiyo bima nadhani ni mtumishi wa serikali, baba halisi wa watoto alileta 1000 ya kuuguza watoto, hii ni 2022, nikamuuliza siku akifumwa je? Akasema basi Mungu atakuwa kamuumbua alinambia anashukuru kupata mapacha kwani ndo anawatumia kama mtaji wake kuweza kuwalea na kuishi,
Kwshiyo zile njemba 3 nyingine zinajiitq baba wawili kumbe hata 0 hawana
Hapo ndo utakapoona wanawake walivyojitoa muhanga hata hatari hawaioni, huyo dada hakuwa na wsiwasi kabisa,
Sasa baba wawili og ndo huyo mtoa 1000 watoto wapo bed anatoa 1000 na sio mzee bado kijana ana nguvu tatizo bangi hao ndo mnaoshare nao kwa hiyo micheps yenu,
Ndio maana ngono huua nguvu za kiroho ni mzunguko wa kusambaziana uchafu na nuksi
Yaje kuwa ya yule dada kumtumia uke babaake woiii😂🏃🏽♀️🏃🏽♀️Muhimu nisiwe baba mzazi, hayo mengine yanazungumzika
Kuna wakati unapitishwa kwenye hiyo misukosuko hadi unahisi labda Mungu anataka ajidhihirishe kupitia weweI have a lot, naweza andika kitabu, hawa wanawake aisee, Itoshe kusema namshukuru Mungu nipo hai, sijakata tamaa, na najitunza kusamehe!