My Confession: Nilivyohudumia Mimba iliyokuwa na Baba 5 pasipo Kujuana

My Confession: Nilivyohudumia Mimba iliyokuwa na Baba 5 pasipo Kujuana

Dah huu uzi unanifanya nimuwaze mwanangu nilozaa huko nje ya ndoa,isije ikawa siyo wangu aisee..na kanavyo nipenda dah
 
Babu Grahams umenikumbusha dada mmoja nilikutana nae hospital aliuguliwa na wanae(mapacha) alikuwa wodi ya wenye bima, ila kwa zile siku chache nilizokuwa pale walikuja wanaume 4 kuona mapacha, mmojawapo aliwakatia hadi hiyo bima nadhani ni mtumishi wa serikali, baba halisi wa watoto alileta 1000 ya kuuguza watoto, hii ni 2022, nikamuuliza siku akifumwa je? Akasema basi Mungu atakuwa kamuumbua alinambia anashukuru kupata mapacha kwani ndo anawatumia kama mtaji wake kuweza kuwalea na kuishi,

Kwshiyo zile njemba 3 nyingine zinajiitq baba wawili kumbe hata 0 hawana

Hapo ndo utakapoona wanawake walivyojitoa muhanga hata hatari hawaioni, huyo dada hakuwa na wsiwasi kabisa,

Sasa baba wawili og ndo huyo mtoa 1000 watoto wapo bed anatoa 1000 na sio mzee bado kijana ana nguvu tatizo bangi hao ndo mnaoshare nao kwa hiyo micheps yenu,

Ndio maana ngono huua nguvu za kiroho ni mzunguko wa kusambaziana uchafu na nuksi
Na usikute hao jamaa wakalipia school bus hao mapacha ili wasome shule nzuri wakiamini ni watoto wao

Mimi ningekuja kuwamaliza wote Mama na Mapacha wake

Mambo ya kugeuzana mafala, hakuna anayetaka

Unless anitangulie kupitia mambo ya Asili, lakini nikitoka lazima niwapoteze
 
Yeye aweke location hii mechi inaenda kupigwa leo mpaka jpili jioni..!! 😹😹😹
Hapo umesema Mjukuu, tuchukue hotel Kali yenye swimming pool

Ili mechi moja mnapigia humo mkiwa mnarushiana Maji huku vinywaji vyenu vikiwa pembeni 🤪

Hivi kweli nitafika mbinguni kwa style hii 🤪
 
Kuna watu wana roho ngumu! Ukachague kubeba mimba ya mvuta bangi mwenye buku buku zake mjini ,kisha ubebeshe wengine majukumu ya kulea!

Kama amebeba hayo maroho yakaanza kusambaa kwa wote alolala nao unashangaa mtu uchumi unashuka tu kisa uzinzi usio na maana😟
Ni aibu yani, na hicho ndo kinamuumiza huyu mzee kijana, baba halisi ni chokoraa la mtaa tu ndo unajikuta umeshare nalo kadudu wote mlipita hapo pekupeku, mkamwaga mijasho yenu, ***** katungisha babu kitambi kalea kakuza mimba kwa mbwembwe na kujenga mwenyewe sipati picha alipokuwa akifika saiti anasimama kwa madaha kumbe kashafanywa fala na lofa
 
Na usikute hao jamaa wakalipia school bus hao mapacha ili wasome shule nzuri wakiamini ni watoto wao

Mimi ningekuja kuwamaliza wote Mama na Mapacha wake

Mambo ya kugeuzana mafala, hakuna anayetaka

Unless anitangulie kupitia mambo ya Asili, lakini nikitoka lazima niwapoteze
Mimi tu nilimuogopa maana nilimgonga maswali na akawa anajibu kirahisi na kadi zote alinionyesha, wengine walikuwa wanaleta misosi eeh ila bamtu alileta 1000, akasema huyu ndo baba yao mzazi lkn kama unavyoona mwenyewe kaleta 1000 ya kuuguza mapacha,
 
Hapo umesema Mjukuu, tuchukue hotel Kali yenye swimming pool

Ili mechi moja mnapigia humo mkiwa mnarushiana Maji huku vinywaji vyenu vikiwa pembeni 🤪

Hivi kweli nitafika mbinguni kwa style hii 🤪
Ukifika mimi napitiliza motoni🙌🏾
 
Kuna watu wana roho ngumu! Ukachague kubeba mimba ya mvuta bangi mwenye buku buku zake mjini ,kisha ubebeshe wengine majukumu ya kulea!

Kama amebeba hayo maroho yakaanza kusambaa kwa wote alolala nao unashangaa mtu uchumi unashuka tu kisa uzinzi usio na maana😟
Ndiyo maana wakikamatwa wanamalizwa kimya kimya bila kuacha alama

Kwani ukimgonga na gari akivuka kutoka sokoni/supermarket si unalipa faini Polisi na kesi inaishia hapo
 
Ni aibu yani, na hicho ndo kinamuumiza huyu mzee kijana, baba halisi ni chokoraa la mtaa tu ndo unajikuta umeshare nalo kadudu wote mlipita hapo pekupeku, mkamwaga mijasho yenu, ***** katungisha babu kitambi kalea kakuza mimba kwa mbwembwe na kujenga mwenyewe sipati picha alipokuwa akifika saiti anasimama kwa madaha kumbe kashafanywa fala na lofa
Na ndo dada za mjini zinvyopambana kwa udi na uvumba sikuhizi, sio tena kwa jasho tu na damu juu! Watu wana roga sana aisee! Huyo ni Mungu wake tu kamsaidia😅🙌🏾
 
Kama sikucheza hiyo michezo enzi hizo umri huu siwezi kufanywa bembea ya wanaume 5 kwa wakatu mmoja achilia mbali kunikula bila ndom wote 5!! Hiyo k au fuko la taka,
Wewe unajitambua

Kwahiyo kipyenga tunapuliza lini

Maisha yenyewe ni haya haya tu 🤗
 
Back
Top Bottom