Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 21,492
- 65,712
- Thread starter
- #161
Kuna wakati tunatoa hizo pesa kwa mapenzi tu, lakini ajabu yake zinatumika kututesaKwani wanakoma sasa, inataka roho wa Mungu kukataa pesa za wanaume hasa wanaojitolea wenyewe kuzitoa
Na usipokuwa makini, unaweza kupoteza vyote ulivyonavyo