Nakubaliana na wewe mfumo wa DNA hapo Tanzania umeingiliwa sana kwa lengo lakupunguza single mothers na street children.DNA kwa Bongo inaweza ikakuletea majibu ya kushangaza, kama haujachelewa mpigie chini na uachane naye
Nakubaliana na wewe mfumo wa DNA hapo Tanzania umeingiliwa sana kwa lengo lakupunguza single mothers na street children.DNA kwa Bongo inaweza ikakuletea majibu ya kushangaza, kama haujachelewa mpigie chini na uachane naye
Babu mi wazee nitakaotafuta hawana uwezo wa kuua kama wako😂Kweli Vijana hawataki amani kabisa na Wazee 🙌
Binafsi sikushauri ufanye hayo, Ukikutana na Mwanaume mwingine anaweza kuwaua wewe na mtoto ili kufidia hasara za malezi alizotoa kwako
Mimi ilibaki kidogo tu niwape Vijana kazi ya kwenda kusafisha
Hata 55 hana huyo, atakuwa 45-50 hapo huu uzee anazuga ni aina mpya ya kukwepa kushobokewa au kujiongezea CV sometimes yes wanawake tunapenda wanaume wakubwa age goo tukiamini wamejipata na hawana mauzauza kama mabarobaro wa 40 kushuka chini,Hivi babu Grahams kwa makadilio unachekezea kwenye miaka mingapi
Pia mm ni mhanga wa hio scenario, ila niligoma kulea mimba, nikaahidi akizaliwa kama ni wangu nitalea ... mwisho wa siku nilipigwa za uso, mtoto sio wangu.. now ana Anaelekea miaka mitano .. mama yake ni singo maza anapambana tu huko ... mara moja moja anaweza kupiga simu anaomba hata buku 5.... sometimes nampaga, mda mwingine hata text zake sijibu ....Na kujitoa kwenye huu mtego sio rahisi
Unaweza kuhudumia mtoto ukasema ni wako, kumbe Kuna Mwanaume mwenzio sehemu naye anamuhudumia mtoto huyo huyo huku akijua ni wake pia
Kwasasa hayo matukio yamekuwa mengi sana
Japo changamoto kubwa naiona kwa Wizara ya afya kushindwa kuweka mifumo sahihi ya kudhibiti Kadi za Kliniki za Mtoto
Mtoto mmoja anakuwa na Kadi 5 za Kiliniki zikiwa na majina tofauti za Mtoto na Baba anayehudumia
Hivi mtoto mfano akianza shule atatumia jina lipi? Na ana wababa watano?Na kujitoa kwenye huu mtego sio rahisi
Unaweza kuhudumia mtoto ukasema ni wako, kumbe Kuna Mwanaume mwenzio sehemu naye anamuhudumia mtoto huyo huyo huku akijua ni wake pia
Kwasasa hayo matukio yamekuwa mengi sana
Japo changamoto kubwa naiona kwa Wizara ya afya kushindwa kuweka mifumo sahihi ya kudhibiti Kadi za Kliniki za Mtoto
Mtoto mmoja anakuwa na Kadi 5 za Kiliniki zikiwa na majina tofauti za Mtoto na Baba anayehudumia
Ndo maana unamtetea, babu kitombile tu alipata anachostahili yani alitaka uaminifu kwa yeye kutokuwa mwaminifu,, wanaume ni makalio walahiMahi hatukatai babu msaliti ila mwanamke mwenzetu kazidi bhana. Wanaume watano?? Na unaweza kukuta wote sio baba wa huyo mtoto..!!
Babu moto anawapelekea si jogoo la shamba hilo 😹😹😹
Humu kwenyewe kazifumua za kutoshaaa 🏃♀️➡️🏃♀️➡️🏃♀️➡️
Hayo yalikuwa mambo ya ujana, ila inahitaji Mwanamke wa tamaa ya kiwango Cha juu sana kuweza kuandaa makadi 5 ya kumfanya Mwanae atunzwe na hao Baba woteHebu acha basi kwahiyo babu msaliti na mtoa mimba ndo malaika,, hapo walikutana shetani na shetani mwenzie ndo hivyo kazeeka saiv ni malaika
Hayupo ata 40s kule selfika ni ka gen z, kanatuokota vibaya mno🤣💔Hata 55 hana huyo, atakuwa 45-50 hapo huu uzee anazuga ni aina mpya ya kukwepa kushobokewa au kujiongezea CV sometimes yes wanawake tunapenda wanaume wakubwa age goo tukiamini wamejipata na hawana mauzauza kama mabarobaro wa 40 kushuka chini,
😹😹😹😹Ndo maana unamtetea, babu kitombile tu alipata anachostahili yani alitaka uaminifu kwa yeye kutokuwa mwaminifu,, wanaume ni makalio walahi
Kile kitendo hakikuwa Cha kawaida, kwanza kilionesha ni namna gani yule binti asivyo na kuridhikaMahi hatukatai babu msaliti ila mwanamke mwenzetu kazidi bhana. Wanaume watano?? Na unaweza kukuta wote sio baba wa huyo mtoto..!!
Babu moto anawapelekea si jogoo la shamba hilo 😹😹😹
Humu kwenyewe kazifumua za kutoshaaa 🏃♀️➡️🏃♀️➡️🏃♀️➡️
Sema hivi hukutegemea kwa hadhi yako uchanganywe kwenye kundi la wapigwaji tena wanne wewe ukiwa wa tano, ila hiyo ni kawaida mno kwa wanawake kupanga msururu wa wanaume hata 10 kwenye mimba 1, na bora huyo alizaa,, kutana na genz uone moto, tulizeni mbolo hizo mnaharibu uelekeo wa familia zenu kwa vitu vya muda mfupiHayo yalikuwa mambo ya ujana, ila inahitaji Mwanamke wa tamaa ya kiwango Cha juu sana kuweza kuandaa makadi 5 ya kumfanya Mwanae atunzwe na hao Baba wote
Kwasasa nimezeeka Mjukuu, wacha vijana wajifunze kwa matukio ya mwaka 47
Kanikera pale kutaka atoe mimba na kufikiria kuwapoteza😅😅,, tena ingekuwa vizuri hilo tukio apigwe kotekote kwa mcheps na kwa wife nako angekuta na kadi 4😆😆😆😹😹😹😹
Babu woyeeee!!
Hii personal sana mahi..!! 😜
Malaya aridhike!!! we babu vipi wewe huyo alikupendea uchumi kama aliweza kukublackmail kwa kutumia mimba usingeona hizo kadi angemmaliza mkeo halafu na wewe kufanywa ndondocha kwisha kaziKile kitendo hakikuwa Cha kawaida, kwanza kilionesha ni namna gani yule binti asivyo na kuridhika
Unamlipia Kodi, unamtunza lakini bado Kuna Wanaume wenzangu wanne pembeni nao wanafanya hayo hayo kwa mtu huyo huyo 🙌
Ila Mjukuu hapo mwisho unataka kuharibu, hivi na umri huu nawezea wapi hayo mambo
Kuwa na huruma na Babu yako tafadhali 🤗
Hahaha............huwa sipendi shimo niingialo awepo mwingine wa kuingiaSema hivi hukutegemea kwa hadhi yako uchanganywe kwenye kundi la wapigwaji tena wanne wewe ukiwa wa tano, ila hiyo ni kawaida mno kwa wanawake kupanga msururu wa wanaume hata 10 kwenye mimba 1, na bora huyo alizaa,, kutana na genz uone moto, tulizeni mbolo hizo mnaharibu uelekeo wa familia zenu kwa vitu vya muda mfupi
Usingetoka kwenye huo mtego ningekuvua vyeo babu..!!Kile kitendo hakikuwa Cha kawaida, kwanza kilionesha ni namna gani yule binti asivyo na kuridhika
Unamlipia Kodi, unamtunza lakini bado Kuna Wanaume wenzangu wanne pembeni nao wanafanya hayo hayo kwa mtu huyo huyo 🙌
Ila Mjukuu hapo mwisho unataka kuharibu, hivi na umri huu nawezea wapi hayo mambo
Kuwa na huruma na Babu yako tafadhali 🤗
Yani bado yankii kabisa huyu analika vizuri mnoHayupo ata 40s kule selfika ni ka gen z, kanatuokota vibaya mno🤣💔
Unaongea sahihi, kuna Watu wamepoteza familia nzima kwa matukio ya hiviMalaya aridhike!!! we babu vipi wewe huyo alikupendea uchumi kama aliweza kukublackmail kwa kutumia mimba usingeona hizo kadi angemmaliza mkeo halafu na wewe kufanywa ndondocha kwisha kazi
Kwani wanakoma sasa, inataka roho wa Mungu kukataa pesa za wanaume hasa wanaojitolea wenyewe kuzitoaHahaha............huwa sipendi shimo niingialo awepo mwingine wa kuingia
Hata kama nitakuwa nimewekeza vingi, nikibaini hilo huwa najitoa
Kwa hii michezo ya mabinti, Kuna siku mtu atatandikwa risasi na asijulikane aliyefanya