My Confession: Nilivyohudumia Mimba iliyokuwa na Baba 5 pasipo Kujuana

My Confession: Nilivyohudumia Mimba iliyokuwa na Baba 5 pasipo Kujuana

Kanikera pale kutaka atoe mimba na kufikiria kuwapoteza😅😅,, tena ingekuwa vizuri hilo tukio apigwe kotekote kwa mcheps na kwa wife nako angekuta na kadi 4😆😆😆
Wanaume malaya ndo walivyo hawapendi kushare..!!

Babu muwe makini naye atawafumua ubongo ana mguu wa kuku 🔫 😹😹😹
 
Wakati mwingine sio rahisi kujitoa kwenye mtego wa hivyo.

Manake hata wale wengine wanne sijui kama walifanikiwa kujijua

Unakuta unaombwa hela ya Kodi, kumbe hiyo meseji inatumwa kwa Wanaume wengine wanne kwa pamoja

Ama unaambiwa mtoto anaumwa, naomba hela nimpeleke hospitali

Unakuta meseji ya hivyo, inatumwa kwa wenzako wengine sita 🙌
Hapo unakuta miongoni mwenu hayupo hata mmoja mwenye mtoto. Anachokikusanya kwenu anaenda kula na baba halisi wa mtoto ambaye hatoi hata sumni.
Ulifanya jambo jema kumuepuka.
 
Usingetoka kwenye huo mtego ningekuvua vyeo babu..!!
Sitaki kuwa na babu sio mjanja 😹😹😹

Wewe fumua vizazi japo sio kwa ubaya, wanasema koti la babu halikosi chawa..!!
Hao ndo chawa wenyewe sasa unawapelekea moto huku unacheza na gia 😹😹😹

Ila babu kina bibi wanalalamika unawapeleka sana mlimani city kuna siku utawagonganisha wazichape..!!

Njoo nikukodishie apartment ukajiachie huko bila stress 😹
Mjukuu utafanya nikugawe sasa sio kwa ushauri huo 😅

Ila saivi nimezeeka zaidi Mjukuu, hata hizo nguvu za kupiga walau shot 1 hazipo 🤪
 
Unaongea sahihi, kuna Watu wamepoteza familia nzima kwa matukio ya hivi

Akishakukamata na amejua una uchumi mzuri, lazima akufanye ndondocha

Na kujitoa, ni hadi Yesu arudi

Wakati huo unakuta umeshampoteza mke na watoto
Yanatokea sana na kadri muda unavyosogea hali inazidi kuwa mbaya zaidi, michepuko ya kukubali na kutulia kufanywa michepuko ni wachache mno,
 
Hapo unakuta miongoni mwenu hayupo hata mmoja mwenye mtoto. Anachokikusanya kwenu anaenda kula na baba halisi wa mtoto ambaye hatoi hata sumni.
Ulifanya jambo jema kumuepuka.
Kabisa, mnapangwa msululu 5 kuhudumia kumbe mtoto sio wenu wote

Si ufala huo
 
Mzee mwenzangu, kweli Uzee dawa, mengi sijayaandika ili kuendelea kuhifadhi privacy tu..

Ila ukiingia pale suala la kuwekwa kwenye chupa ni dakika 0 tu

Na kutoka huko ni hadi Yesu arudi
Pole sana mzee mwenzangu,
Na hii pension inabidi utulivu uwe wa kiwango kikubwa sana. Hawa wenzetu kukuchanganya ni dk sifuri tu.

Binafsi sina uzoefu na watu wa aina hiyo, huenda ni huu utulivu niliojaliwa🤣🤣sina mambo mengi!!
 
Pole sana mzee mwenzangu,
Na hii pension inabidi utulivu uwe wa kiwango kikubwa sana. Hawa wenzetu kukuchanganya ni dk sifuri tu.

Binafsi sina uzoefu na watu wa aina hiyo, huenda ni huu utulivu niliojaliwa🤣🤣sina mambo mengi!!
Katika kitu nashukuru, ni kujitoa kwa yule Binti mapema

Angefanikiwa kukutana na pension yangu, huenda angenichuna zote nibaki na kengele zangu tu 🙌

Kwa umri wetu huu, bora tubaki watulivu

Ukijichanganya hauchelewi kuanza kusomesha watoto wa Uzeeni
 
Nikichojifunza apa ni kuwa hakuna mfanya biashara anayetaka kupoteza wateja wake
Kumbe tunajiona tunapendwa kumbe tunalindwa tusitoroke,asant
Hakika Mkuu, unakuwa mteja wake wa kudumu huku ukimhudumia kwa Kila kitu 🙌
 
We fala na babu yako mje tupige threesome 💃💃
😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹
Grahams babu bibi ananitukana..!! 😥

Sasa babu twende halafu tukifika unitume ugolo ili niwaache wenyewe umuonyeshe kilichomtoa kanga manyoya..!! 😹😹😹😹
 
Back
Top Bottom