Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 21,492
- 65,712
- Thread starter
- #201
Unaogopa kufyatuliwa Ubongo kwani unampango wa kutengeza Kadi 5 😎Kila siku kiko na nishakukataza hamia huku kwetu 420💚
Nije unifyatue ubongo! Akhuu😂😂 we okoteza wengine hao mi nitumie humuhumu🤣🤝🏽
Fanya uniletee Kiko Mjukuu, unajua nilivyomisi 🤗