My Confession: Nilivyohudumia Mimba iliyokuwa na Baba 5 pasipo Kujuana

My Confession: Nilivyohudumia Mimba iliyokuwa na Baba 5 pasipo Kujuana

Na ndo dada za mjini zinvyopambana kwa udi na uvumba sikuhizi, sio tena kwa jasho tu na damu juu! Watu wana roga sana aisee! Huyo ni Mungu wake tu kamsaidia😅🙌🏾
Ukishapuliziwa ndumba, kujitoa humo hadi unaingia kaburini

Manake akiona umeanza kurudiwa na akili, anaenda kuongeza dozi
 
Ndiyo maana wakikamatwa wanamalizwa kimya kimya bila kuacha alama

Kwani ukimgonga na gari akivuka kutoka sokoni/supermarket si unalipa faini Polisi na kesi inaishia hapo
Lakini mzee punguza kuwa na roho ngumu🙆🏽‍♀️
Nakuogopa!!🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️
 
Lakini mzee punguza kuwa na roho ngumu🙆🏽‍♀️
Nakuogopa!!🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️
Nimechomekea tu Mjukuu, Mimi sina roho mbaya

Ila please nawe usitengeneze Kadi 3
 
Duhh tusiache kusali mzee🙌🏾
Ni kweli, lakini jambo la muhimu Wanaume tupunguze kuchepuka

Otherwise labda uwe na jicho la ndege tai kuweza kuepuka mishale
 
Na ndo dada za mjini zinvyopambana kwa udi na uvumba sikuhizi, sio tena kwa jasho tu na damu juu! Watu wana roga sana aisee! Huyo ni Mungu wake tu kamsaidia😅🙌🏾
Uzuri wa wadada wa mjini hawakubali kuzaa kijinga hivyo labda uwavizie wakiwa bado wajinga wajinga au huko mavumbini sema balaa lao ni ushirikina hapo kipengele wanaroga mnoo, wanashare dudu na waganga wa jadi, na nyota unaibiwa kwisha habari yako
 
Babu shida yako hunipi mshahara wangu wewe pesa zote unawapa kina bibi 😹😹

Huyo akupe kakuahidi mwenyewe 😹
Hahaha.........hili likitiki, jiandae kupokea mshahara wa miezi 3 kwa pamoja

Itakuwa ni bonge moja la deal

Hata Wazee tunapenda mali safi 🤭
 
Back
Top Bottom