Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Babu nasubiri zawadi yangu.Mjukuu zawadi yako inakusubiri, sio kwa minyama hii 😅
Halafu kuna bibi ananisumbua kweli eti siku hizi umempotezea kibubu kimekauka…!! 😹😹
Babu nawe Punguza kuwapa pesa hovyo ukiwaacha wanalia wenzio 😹😹