Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 21,492
- 65,712
Alikuwa anapambania iphone macho matatu kipindi hicho ili awakomeshee watesi,Kwakweli! Hawaangaliagi mbele hawa wadangaji wapumbavu! Kama alikuwa anaomba ela na anapewa so far utakuta aliishia kuvaa mawigi ya million na kupanda ndege kuwaringishia machangu wenzie😅
Ela zikiwazidia wanaume pia huwa wanatabia ya kujaribu jaribu mambo matokeo yake mtu anatia wanyama, wanume wenzie na hata watoto! Huo ni unajisi😨Kwa akili za kawaida huwezi kufanya hayo
Hata kama umebanwa na haja kiasi gani, bora uagize online ama upige nyeto kama Mzee mwenzangu Mbaga Jr anavyosemaga
Hata hivyo njaa ya siku moja isikufanye ujute maisha
Na hizo iphone zimefanya wengi wajifunze kucheza miguu yoteAlikuwa anapambania iphone macho matatu kipindi hicho ili awakomeshee watesi,
Sasa jiulize chuoni malecture walipiga, aliyempa hela ya wigi alipiga, aliyempeleka guest aligonga, ......mlolongo ni huo maana mpaka mtu anafikia hatua ya kutumia dawa ili kunasa pesa za mwanaume masna yake kashafanya mbinu zote za kike kupata pesa kutoka kwa mwanaume na zote zimefeli au kapata kidogo,
Kuua kisa kusingiziwa mtoto hapana, kuna mstari nilisha jiwekea siwezi kuvuka.Hahaha...........usiombwe ukutwe na huu msala
Unaweza kufungwa kwa kuua kwa kukusudia
Kwa umri huu nilionao, nahisi hadi naingia kaburini siwezi kufanya hayoEla zikiwazidia wanaume pia huwa wanatabia ya kujaribu jaribu mambo matokeo yake mtu anatia wanyama, wanume wenzie na hata watoto! Huo ni unajisi😨
Hivi hiyo macho ma3 huwa inawasaidia nini hawa stupid buddies😂Alikuwa anapambania iphone macho matatu kipindi hicho ili awakomeshee watesi,
Sasa jiulize chuoni malecture walipiga, aliyempa hela ya wigi alipiga, aliyempeleka guest aligonga, ......mlolongo ni huo maana mpaka mtu anafikia hatua ya kutumia dawa ili kunasa pesa za mwanaume masna yake kashafanya mbinu zote za kike kupata pesa kutoka kwa mwanaume na zote zimefeli au kapata kidogo,
Mlipewa mzigo ndo huo mkiutumia vibaya inawaumbua, tumepitia maisha magumu kisa mzee alishindwa kudhibiti kikojoleo chake na hiyo ni hadithi ya watu wengi sanaYaani Kuna majuto mengine tunajuta baada ya tendo
Yaani Ile ukimwaga tu, ndiyo unajua hivi kumbe sikuvaa ndomu
Ni kama vile shetani anakuwa ameshikilia akili zetu kwa muda
Kuna Mzee mwenzangu mmoja alim-kaba mtoto wa miaka 9, hata chuchu hana
Nikajiuliza inawezekanaje ukasimamisha kwa mtoto wa Rika hilo
Na kwa maumbile yetu Wazee, hivi inawezaje kupenya wakati kwa Bibi zenu tu ni hadi maandalizi yafanyike 🙌
Mungu atusaidie Wanaume
Hicho ndicho nachowapendea🤗 sio hawa vijana njaa kali @ ngumu🙌🏾Hela inafuatwa Mjukuu
Take a time, si unajua Wazee ni wepesi kuridhika
Inategemea na reaction ya wakati huo wakati unabaini hayoKuua kisa kusingiziwa mtoto hapana, kuna mstari nilisha jiwekea siwezi kuvuka.
Nahakikisha I drain pennies zote nilizo weka kwako and move on. Hiyo ni sweet revenge.
Nawe babu unatumia hivyo vitu😂Na hizo iphone zimefanya wengi wajifunze kucheza miguu yote
Hakuna kukosa goli, akija mguu wa kulia unacheza, ukienda kushoto unacheza 🤪
Anayeroga ili apate macho matatu hata huko kashafumuliwa, bado hapo alimaliza chuo kwenye kutafuta kazi huko je??? Balaa zitoNa hizo iphone zimefanya wengi wajifunze kucheza miguu yote
Hakuna kukosa goli, akija mguu wa kulia unacheza, ukienda kushoto unacheza 🤪
Hilo nalo ni tatizo usipotupia haya mambo akili yote inabaki kwenye kuwaza nyuchiz tuKwa umri huu nilionao, nahisi hadi naingia kaburini siwezi kufanya hayo
Bahati nzuri situpii vyombo
Of course, matokeo ya kufanya hayo ni kutesa familiaMlipewa mzigo ndo huo mkiutumia vibaya inawaumbua, tumepitia maisha magumu kisa mzee alishindwa kudhibiti kikojoleo chake na hiyo ni hadithi ya watu wengi sana
Hiyo ndo akili yetu wanawake fupi kama mkia wa mbuziHivi hiyo macho ma3 huwa inawasaidia nini hawa stupid buddies😂
Yani chuo kuna dada aliuliwa kisa hayo mambo ya macho matatu! Ilikuwa ndio imeingia, sasa kale kamtindo unatoa macho mawili unapewa matatu! So stupid species we have lolz 😆
Mganga anawaambia mizimu inataka kukuonja kupitia mimi ndipo upate hitaji lako! Mwezi mzima unalala kwa mganga anakuogesha makaburini ni kuliwa tu😂💔Anayeroga ili apate macho matatu hata huko kashafumuliwa, bado hapo alimaliza chuo kwenye kutafuta kazi huko je??? Balaa zito
Anaekula bila wasiwasi ni mganga peke yake, so men mnashare madudu na waganga wale waojitangaza kutoa majini kwenye nguzo za umeme😀😀😀
Mrija umekata anahaha 😹😹We subiri zawadi yako Mjukuu
Hiyo case sijaisikia, isije kuwa ni tukio la mwaka 47
Ukikutana naye tena, mfikishie salamu zangu